gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Israel ikianza kujibu hayo makombora hatutaki vilio vya kobazi eti wanawake na watoto wameuawa kwani wanaume wa Gaza hujificha wapi hadi makombora hayawapati?Leo,usiku huu, Hamas walirusha maroketi kumi,mengi zaidi katika miezi kadhaa,habari toka israel zinadai wateule watatu walipata majeraha mepesi kama kawaida yao, isipokua magari tu yaliyotengenezwa na kwa malighafi laini kuliko mifupa na minofu ya binadam ndiyo yaliharibiwa vibaya
https://www.timesofisrael.com/liveb...t-in-ashkelon-after-rocket-barrage-from-gaza/
Modes najua man hasira na G-55 ya chadema kumpinga lisu, lakini huu uzi msiuunganishe,uacheni tu kama mnavyoziacha nyuzi za echolima
Majibu ni jambo dogo kuliko kwamba yamerushwa.Israel ikianza kujibu hayo makombora hatutaki vilio vya kobazi eti wanawake na watoto wameuawa kwani wanaume wa Gaza hujificha wapi hadi makombora hayawapati?
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa vyakula vyote mamilion ya tani wameyamaliza kwa wiki tatu tu?Majibu ni jambo dogo kuliko kwamba yamerushwa.
Waliorusha ni nani kutoka eneo ambalo ni magofu matupu na eneo ambalo Hamas imetajwa wamemalizwa na walio hai wamenyimwa chakula.
Acha kufundisha kazi watu uliwaweka wewe?Leo,usiku huu, Hamas walirusha maroketi kumi,mengi zaidi katika miezi kadhaa,habari toka israel zinadai wateule watatu walipata majeraha mepesi kama kawaida yao, isipokua magari tu yaliyotengenezwa na kwa malighafi laini kuliko mifupa na minofu ya binadam ndiyo yaliharibiwa vibaya
https://www.timesofisrael.com/liveb...t-in-ashkelon-after-rocket-barrage-from-gaza/
Modes najua man hasira na G-55 ya chadema kumpinga lisu, lakini huu uzi msiuunganishe,uacheni tu kama mnavyoziacha nyuzi za echolima
Eti israel ikijibu, ulikua handakini!?Israel ikianza kujibu hayo makombora hatutaki vilio vya kobazi eti wanawake na watoto wameuawa kwani wanaume wa Gaza hujificha wapi hadi makombora hayawapati?
sawa muda mfupi mtaanza kulia maana Benjamin Netanyahuu huwa hacheki na kimaEti israel ikijibu, ulikua handakini!?
Kaua wapalestina 60+k, kabomoa mji mzima, hakuna jipyasawa muda mfupi mtaanza kulia maana Benjamin Netanyahuu huwa hacheki na kima
Hamas are amazing...Leo,usiku huu, Hamas walirusha maroketi kumi,mengi zaidi katika miezi kadhaa,habari toka israel zinadai wateule watatu walipata majeraha mepesi kama kawaida yao, isipokua magari tu yaliyotengenezwa na kwa malighafi laini kuliko mifupa na minofu ya binadam ndiyo yaliharibiwa vibaya
https://www.timesofisrael.com/liveb...t-in-ashkelon-after-rocket-barrage-from-gaza/
Modes najua man hasira na G-55 ya chadema kumpinga lisu, lakini huu uzi msiuunganishe,uacheni tu kama mnavyoziacha nyuzi za echolima
mbona mnalia wapalestina wanakufa njaaKaua wapalestina 60+k, kabomoa mji mzima, hakuna jipya
naww umeumia!!!!!!Kobazi wamefurahi hamasi kurusha vikombora
Hao waga hawafi waliumbwa tofauti na sisi 🤣 😂Leo,usiku huu, Hamas walirusha maroketi kumi,mengi zaidi katika miezi kadhaa,habari toka israel zinadai wateule watatu walipata majeraha mepesi kama kawaida yao, isipokua magari tu yaliyotengenezwa na kwa malighafi laini kuliko mifupa na minofu ya binadam ndiyo yaliharibiwa vibaya
https://www.timesofisrael.com/liveb...t-in-ashkelon-after-rocket-barrage-from-gaza/
Modes najua man hasira na G-55 ya chadema kumpinga lisu, lakini huu uzi msiuunganishe,uacheni tu kama mnavyoziacha nyuzi za echolima
Halafu utasikia eneo hilo hilo lililorushwa makombora kwenda Israel waliokufa kwenye sakasaka ya IDF ni wanawake wazee na watoto na sio mgambo wa HamasMajibu ni jambo dogo kuliko kwamba yamerushwa.
Waliorusha ni nani kutoka eneo ambalo ni magofu matupu na eneo ambalo Hamas imetajwa wamemalizwa na walio hai wamenyimwa chakula.
Hawa jamaa wachokozi ngoja niweke bando niingie Israel chanel nione jinsi watakavyoanza kulipiza kisasi hii inafaa JINO KWA jinoHalafu utasikia eneo hilo hilo lililorushwa makombora kwenda Israel waliokufa kwenye sakasaka IDF ni wanawake wazee na watoto
Hivi wanaorusha haya makombora ndio hao wanawake wazee na watoto?😎
Inachanganya sana🤔