Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Aibu kubwa mno! Yani nyie CCM si mnasemaga mnawatu wa kutosha na kama wanakipenda chama chao watakuja wenyewe kwenye hizo kampeni. kwanini mnanengeneka kuwasomba watu tena usiku kama ng'ombe au mbuzi?
Embu acheni ushamba wenu! Nyie dawa yenu imeshaiva jikoni subiri mnyweshe sasa!
===================
Maroli yanasomba watu usiku huu huko Mwanza, ili wakalale kwenye mkesha kesho wajaze uwanja kwenye mkutano wa Samia.