GE2025 Maroli yanasomba watu usiku huu Mwanza, ili kesho wajaze uwanja kwenye mkutano wa Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Aibu kubwa mno! Yani nyie CCM si mnasemaga mnawatu wa kutosha na kama wanakipenda chama chao watakuja wenyewe kwenye hizo kampeni. kwanini mnanengeneka kuwasomba watu tena usiku kama ng'ombe au mbuzi?

Embu acheni ushamba wenu! Nyie dawa yenu imeshaiva jikoni subiri mnyweshe sasa!
===================
Maroli yanasomba watu usiku huu huko Mwanza, ili wakalale kwenye mkesha kesho wajaze uwanja kwenye mkutano wa Samia.

Your browser is not able to display this video.
 
Hato malori ni ya Hussein Bashe.
Akibisha tutaweka ushahidi hapa alinunua lini kwa njia gani kwa pesa ya kutoka wapi.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kula kwa Samia lakini kura usimpe
 
Malori ya CCM yanabeba wanachama wa CCM kwenda kwenye mkutano wa CCM.
Tatizo liko wapi?! Wewe mwanachadema au Chauma ukiambiwa ukiambiwa upande hayo malori upo tayari?!
Sasa waache watu wenye mapenzi na chama chao wakakishangilie chama chao!
Ingekuwa wanabeba kwa nguvu watu wa vyama vingine kwenda kwenye mkutano wa CCM hapo ingekuwa tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…