Maromboso (Mbosso) rasmi WCB

Maromboso (Mbosso) rasmi WCB

Mboso alisubiriwa kwa hamu sana, binafsi nilitegemea makubwa toka kwa huyu kijana... Hajaniangusha!!!
Mwanzo mzuri, namsihi achochee tu mbona WATAKUBALI
 
Pini kali nimelisikiliza kama mara 20 hivi
 
Kuchagua, uwezo hana! mbona Beka mwenzie kajaribu
usi force watu wafanane kila mtu anaumwezo wa kuamua anavyoona yeye. Pili kila mtu anapita njia hatakayoona inamfa.
 
Rich mavoko hapewagi shavu na WCB,hadi kwenye picha wamemkata hahah
 
usi force watu wafanane kila mtu anaumwezo wa kuamua anavyoona yeye. Pili kila mtu anapita njia hatakayoona inamfa.
Hakuna kuamua mkuu, uwezo mbona hii ipo wazi unataka kuitetea? Hana uwezo wa kijisimamia km Independent Musician. Harmonize alienda pale kwakua alikua undergroung, ss yeye na ustar wote aliouvuna Yamoto! Km kuna mwanamzik mkubwa ameenda Wasafi, ujue hali ilikuwa mbaya.
 
Hakuna kitu kama hicho usitake watu wafanane.
 
Back
Top Bottom