fatmanuria
JF-Expert Member
- Aug 26, 2017
- 440
- 701
Yule aloondoka na daftari la nyimbo za Ya moto band? Wenzake wamekuwa wastaarabu tu huwaskii wakilalamika wamepiga kimya tu.Asley ni kisiki cha mpingo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule aloondoka na daftari la nyimbo za Ya moto band? Wenzake wamekuwa wastaarabu tu huwaskii wakilalamika wamepiga kimya tu.
Alishapotea kwenye ulimwengu wa mziki itakua amerud zake shamba20% yupo wapi siku hizi
Kuchagua, uwezo hana! mbona Beka mwenzie kajaribuni vyema pia kila mtu anamaamuzi yake ya kuchagua
Hakuna kuamua mkuu, uwezo mbona hii ipo wazi unataka kuitetea? Hana uwezo wa kijisimamia km Independent Musician. Harmonize alienda pale kwakua alikua undergroung, ss yeye na ustar wote aliouvuna Yamoto! Km kuna mwanamzik mkubwa ameenda Wasafi, ujue hali ilikuwa mbaya.usi force watu wafanane kila mtu anaumwezo wa kuamua anavyoona yeye. Pili kila mtu anapita njia hatakayoona inamfa.
Hakuna kitu kama hicho usitake watu wafanane.Hakuna kuamua mkuu, uwezo mbona hii ipo wazi unataka kuitetea? Hana uwezo wa kijisimamia km Independent Musician. Harmonize alienda pale kwakua alikua undergroung, ss yeye na ustar wote aliouvuna Yamoto! Km kuna mwanamzik mkubwa ameenda Wasafi, ujue hali ilikuwa mbaya.