Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Nahisi hapa tatizo ni hili neno UNAFIKI
watu limewauma kwani mmelielewaje??
 
mi yangu macho leo two years in ndoa yangu hayo tu...!!
 
ndoa ni kama maisha tu yalivyo , kuna mazuri yake na changamoto zake........

ukiingia kwenye ndoa na ukatamani kutoka kwasababu ya changamoto unakuwa huna tofauti na mtu anayetaka kufupisha maisha yake kwa kujiua.

hamna jambo lolote kwenye maisha lisilokuwa na changamoto , kazini kunachangamoto nyingi lakini tunakomaa.

ukifanya biashara kuna changamoto nyingi sana lakini tunakomaa kuelekea kilele cha mafanikio.

na mara nyingi kwenye mambo mengine huwa tunafanikiwa kwasababu ya ile heshima ya tunachokifanya , tofauti na ndoa ambayo hatuiheshimu basi kutwa zinakuwa majanga tupu humu mjini.

ndoa ziheshimiwe na huwezi kusema umeshindwa kabla ya kujaribu. (hii ni sawa na kuacha kusoma kisa asilimia kubwa ya wanafunzi wanafeli)
 

[h=2]Post-traumatic Stress Disorder(PTSD).[/h] When in danger, it's natural to feel afraid. This fear triggers many split-second changes in the body to prepare to defend against the danger or to avoid it. This "fight-or-flight" response is a healthy reaction meant to protect a person from harm. But in post-traumatic stress disorder (PTSD), this reaction is changed or damaged. People who have PTSD may feel stressed or frightened even when they're no longer in danger.

PTSD develops after a terrifying ordeal that involved physical harm or the threat of physical harm or threats of imminent death that result in feelings of intense fear, horror, and powerlessness. The person who develops PTSD may have been the one who was harmed, the harm may have happened to a loved one, or the person may have witnessed a harmful event that happened to loved ones or strangers.

PTSD was first brought to public attention in relation to war veterans, but it can result from a variety of traumatic incidents, such as mugging, rape, torture, being kidnapped or held captive, child abuse, car accidents, train wrecks, plane crashes, bombings, or natural disasters such as floods or earthquakes.

Many people who go through traumatic events have difficulty adjusting and coping for a while, but they don't have PTSD - with time and good self-care, they usually get better. But if the symptoms get worse or last for months or even years and interfere with your functioning, you may have PTSD.
 

asante sana bibi.com ujana unawasumbua hawa mabinti tamaa za miili zmewakaba wanaona kuolewa ni utumwa lakn najua mda utafika pale makunyanzi yanatakapoanza kuota uson na mapajan na hawatawaona tena wanaume wa kuwapa kampan,hatamuona tena mtu wa kumliwaza hapo ndipo majuto anazaliwa na kuwa mjukuu wao. Zile sentensi shurutia ndipo ztakapoanza kutamkwa...... Ninge''
 
Last edited by a moderator:
NANI KASEMA KASHINDWA? Mimi hiki ndio kilio changu KARATA ZOTE ZIWEKWE MEZANI! Soo ku dress dress facts na kipindisha ukweli kulaghai kwamba ONE SIDE IS GREENER THAN THE OTHER!
 

Asante doctor.
 
Hpanaaaa! Hapo tunapotofautiana MNAPOANZA KUGHILIBU KUWA ONE SIDE IS ALWAYS GREENER THAN THE OTHER! Hapo saaa ndo mnakuwa WANAFIKI KUFICHA UKWELI KWAMBA AS LONG AS PANDE ZOTE KUNA BINADAMU CHANGAMOTO NI CONSTANT!
 

Bibi .com KUPOINT KWANGU UHALISIA KWAMBA NO SIDE IS GREENER THAN THE OTHER HAKUNUFANYI NICHUKIE NDOA! Ila unafiki sio trade mark yanhu ndo maana nimesema LIVE! So kwanzamJISEMEE WEWE NAFSI YAKO BIBI.COM ULIKUWA UNACHUKIA NDOA USINIUNGANISHE TAFADHALIIII, MI NAWEKWA MJINI NA WANAUME UJUE.

Kwa hio na hao uliowataja juu NDOA ZAO ZILIKUWA NZURI SANAAAA I BET! Hahahaaaa! Si jambo la kucheka jamani!
 

Naona baada ya kutoa motivation umeona hazifanyi kazi umeresolt to THREATS! Hahaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…