Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

NANI KASEMA KASHINDWA? Mimi hiki ndio kilio changu KARATA ZOTE ZIWEKWE MEZANI! Soo ku dress dress facts na kipindisha ukweli kulaghai kwamba ONE SIDE IS GREENER THAN THE OTHER!

Hakuna upande ambao ni mtamu au mchungu kuliko mwingine inategemeana na mtu na mtu ,,,,,,,,,, mtu anachokitaka kwenye maisha ,,,,,,, maisha ya mtu yalivyo na last UMRI pia ni Determine factor kwenye hili ( huwezi kumwambia mzee wa miaka zaidi ya 60 kuwa ndoa siyo muhimu kwake , utamuua kwa upweke tu).
 

Thanks. Wengi wanasuffer hii kitu na hawajijui
 
Hpanaaaa! Hapo tunapotofautiana MNAPOANZA KUGHILIBU KUWA ONE SIDE IS ALWAYS GREENER THAN THE OTHER! Hapo saaa ndo mnakuwa WANAFIKI KUFICHA UKWELI KWAMBA AS LONG AS PANDE ZOTE KUNA BINADAMU CHANGAMOTO NI CONSTANT!

Mimi na wewe toka ile sredi yako ya kwanza tuliweka kadi zote mezani na tukakubaliana,na hapa tukubaliane tu ndoa kama ndoa si unafiki wanandoa wenyewe ndo wanaweza kufanya ndoa yao iwe paradiso au jehanum.

Hahahaha! Tupe tu ushindi hata wa mezani kama wewe tulivyokupa ushindi wa mezani juu ya Umri.lolz
 
EXACTLY!!!!! Leo kidogoo Dr. tumekuwa page 1!
 

Hahaaaa! Hapo linapokuja suala la dunia sio mbaya ila watu ndo wabaya ndo tunashindwaan! WATU WABAYA NDO WANAIHARIBU DUNIA, LIKE WISE WANANDOA DHAIFUUU NDO WANAENDWLEA KUIPAKA MATOPE TAASISI HIO! As long as wako hao wachache the INSTITUTION CAN NEVER BE FREE FROM THESE ALLEGATIONS! Jibu inatikiwa liwe TATIZO LO IN SOME EXTENT SIO KUFOSI TATIZO HAKUNAA WAKATI AFTER MATH YA TATIZO IKO WAZI!
Hapo unasemaje Mama Mchungaji!
 
Social media ndio kimbilio pekee la kujifariji kwa wakosa ndoa!!.Una uhuru wa kueleza chochote unachojisikia hata kama haubadirishi UKWELI au hata kama hakiaminiki na wewe mwenyewe!!Enyi Anti-marriage Kampeni ya kuponda ndoa ikikamilika mtahamia kwenye kuponda U.C.H.I za mama zenu!.Mkimaliza mtahamia kumlaani muumba kwa kuwapa shimo na kupakata waume za wenzenu!!HALAFU NDOA ZA IMANI YENU SI KAMA ZETU.ZENU NI TEMPORARY NA NEXT WEEK UTAONA WENZENU WAKIJIUNGA NA KAMBI YENU.
 

Hahahaaaaaaaa! Nacheka kama mazuri! UMEMALIZA KIU YAKO AU BADO UNAENDELEA KUKAMUAAA? Usitusemee nafsi we unajua mi nipo kambi gani? Au unafnya tu assumption? I really hope hatutohamia huko ulokosema! Hahaaaaaaa!
 
95% ni wanawake ndo tunavumilia na ili mfike m/mke uwe mjinga na kupuuzia yote!
huo ndo ukweli mchungu
ndoa iheshimiwe na watu wote

Mmmmmmmmh! Walau umekuwa muwazi! Watu haya mambo ndo wanabishaaaa! Wakati mwenye mach haambiwi onaaaa!
 

hahaha!! hapo poa ila sema sema basi in loud kwamba ndoa si taasisi ya kinafiki,tangua tu hii kauli, Emolo wangu hapa anavyojitahidi halafu unataka kumwambia mnafiki,loh! Hebu muhurumie jamani,lolz
 
Guys no need kurumbana.kwa anaetaka ndoa ipewe heshma aanze kwanza kuiheahmu ndoa yake.hvi si ndio nyinyi wanaume Wa umu mnaojitapa hapa kila siku wataalam Wa kuchepukaa???..sio nyie mlio support sana ile thread iliyohusu vmada wanapata mgao Mkubwa wa hela zenu kuliko wake zenu halalii??au nilikuwa naota??nashangaa leo mnamvaa Lara kutoziheshmu ndoa zenu na kuwatukania wake zenu eboooo::'heshma bwana haiji Kwa kutoa povu but Kwa vtendo...haya ndo matokeo ya hzo Sera zenu za kuwashusha wake zenu mkasahau ndo wanaotengeneza jina la ndoa zenu..ni Moja tuu ya athari zake kati ya nyingiii''if you want the beautiful end use the beautiful means!!
 
Mmmmmmmmh! Walau umekuwa muwazi! Watu haya mambo ndo wanabishaaaa! Wakati mwenye mach haambiwi onaaaa!

huo ndo ukweli wanawake wengi tunafunika kombe mwanaharamu apite
%chache wanaowapelekesha waume zao hawapendwi na ndg wa kiumeni na wanaitwa wachawi wameroga kaka zao
Naongea hv nipo ndoani na ninaziona za watu pia
 

Point nzuri sana hii nadhani ni fundisho kwa wanaume na wanawake wa MMU walioko ndoani, hapa kinachogomba ni ndoa kuitwa taasisi ya Unafiki baasiii!!
 

exactly...!!!kula tano!!
wengine wazinzi humu ila wana ndoa
wapigaji...!!!
wanatukanana hovyoo...!!
walevi mbwa..!!!
dunia sio mbaya....!!!
walimwengu ndo wabaya...!!!
hebu tujiheshimu ili tuheshimike!!!
ndoa si unafki
ila watu wake ndo wanafiki!!!
ndoa iheshimiwe na watu wote!!
 
Seriously lara 1 ???

Huu muendelezo wako unaonesha kuwa tatizo lako limezidi mara dufu na kuendelea kutofautiana nawe ndiyo twakupoteza kabisa.

Yayumkini ndio mfumo uliouchagua kuishi na hutaki kubadilika (very pessimistic).


Siple equation! Ndoa = binadamu +binadamu, binadamu = unafiki (moja ya sifa wanyama wengine hawana) Hence UNAFIKI +UNAFIKI =??????????? Mi chichemiii!
Binadamu=utashi...ndiyo tofauti yetu na wanyama wengine,mengineyo ni ziada tu zisababishwazo na mazingira,mchangamano,tabia n.k

Wanyama ndio hawafungi ndoa,leo anapandwa na dume hili mara lile bila malalamishi (japo kuna baadhi wanafunga nao ndoa)

Ikiwa wewe unakandya ndoa kiasi cha kuhusisha tafsiri yake na unafki (kulingana na maelezo yao) basi impliedly unakuwa umechagua kundi la wanyama.

Pole... unaashiria kuwa na tatizo kubwa kiakili (psychologically).

*I don't mean to offend you anyhow.
 
Last edited by a moderator:

Kabsaa shostii..kila sku wanatoa topics za kutukandia na kutudharilisha umu,yet Leo wanaitwa wanafki wanakasrika. ..iheshmiwe na watu wte including wenye ndoa wenyewe wawe mfano sio kujidharilisha tna wanaona sfaa wanadai bla michepuko sio mwanaume kamili!uku wameapa Ku stick na mke mmoja""till death do us apart ha!..sio unafki huo jaman mpeni a substitute vocabulary Lara awaitejee?tubadilike wanaume esp tujihesshmu tutaheshmiwa tuu vngnevyo heshma hailazmishwi
 
Point nzuri sana hii nadhani ni fundisho kwa wanaume na wanawake wa MMU walioko ndoani, hapa kinachogomba ni ndoa kuitwa taasisi ya Unafiki baasiii!!

Yaani tujiheshmu kwnza tusilaumu tuu tujiulize chanzo ni sisi wenyewe mpaka Hawa ambao hawajaingia wanaona haina hadhi kuitwa takatifu
 
You're very wrong mdada.

Wachangiao humu JF wengi ni fake hadi jinsia zao...waweza kuona ni comment ya mwanaume kumbe ni mdada and vice versa.

Wachepukaji huwa hawapigi kelele-kuwa mimi nachepuka,la hasha hutenda kama vile wanandoa amabavyo huwa hawapigi tarumbeza kuanika mambo ya ndoa zao...na hata ikitokea wachache sana hukimbilia huku JF.

Si maombi ya ushauri kuhusu mahusiano yaletwayo JF ni kweli, mengi yameongezewa chumvi kiasi cha kuharibu ladha ya tukio halisi.
lara 1 kwa mtazamo wake binafsi yuko sahihi,lakini kiuhalisia ni uongo.

Ushabiki mwingine si wa busara.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…