Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Asanteeee,ni aunty yako lakini si mimi wala yule mpaka useme wote wanafiki,kama wewe unavyotaka JF ikutambue Lara kama Lara na hakuna kama wewe tambua ndoa kama ndoa si unafiki,acha ukweli ubaki ukweli.
 
Asanteeee,ni aunty yako lakini si mimi wala yule mpaka useme wote wanafiki,kama wewe unavyotaka JF ikutambue Lara kama Lara na hakuna kama wewe tambua ndoa kama ndoa si unafiki,acha ukweli ubaki ukweli.

Hahaaa! MI NIMESEMA TAASIS NI YA KINAFIKI, SIJASEMA EVE NI MNAFIKIIII! Tupo pamoja hapo? Sasa as long as kuna memba wanafiki katika taasis, taasisi haiwezi kuwa safi! Mmoja wao ni Aunt yangu na karibia wote ninaowajua! Uzuri wengine wanakubali uzuri tu kuwa ni wanafiki, na kwenda mbele ku imply ndani ya taasis wengi wawajua wao wameozaa!
 

Lipi ambalo halisemwi? Kwenye harusi nyingi mtu alikuwa akipewa nafasi ya nasaha ilikuwa lazima aanze kusema NDOA NI MSALABA,atapiga tantarita zote,mpka ikafika mahali watu wakakatazwa kusema hivyo wakihoji mbona mnatisha watoto hakuna jema kwenye ndoa?
 
Mi sielewi watu wanaponda IMTU...
ooh..bomu
Utapeli, chini ya kiwango...
Maskini weee
Kumbe IMTU CHUO BORA KABISA tatizo ni wahusika.
Tusikiseme chuo tuwaseme wahusika.... si eti eeh???



Mwenye kuelewa kaelewa

Nimekuelewa na hii ina maana upo ndoani mambo safi kabisa big up kwa shemeji

Unajua kinachobishaniwa hapa kidogo sana

Ndoa kama taasisi hatuwezi kuiita ya kinafiki

Wanandoa wanaweza kuwa wanafiki(baadhi) na hiyo ni kawaida kabisa.

Na huo unafiki si kwenye taasisi ya ndoa tu..hata taasisi nyingine...upadre na mapadre, mwadhini na kuadhini, Rais na Urais, udaktari na madaktari, the list is endless.

Baada ya kusema hayo, tafadhali nasubiri mwaliko wa Eid kutoka kwa wafuatao: Heaven on Earth Kaunga Fixed Point lara 1 Mtambuzi miss neddy miss chagga sister Jeska Madame B everlink ICHANA
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaa! NISILO LIELEWA NA PALE WANANDOA MNAPOJITAHIDI KULETA PICHA KWAMBA NDOA NDO JIA BORAA, NDO ZOOOOTE ZINAFURAHA, NDOA NDO KILA KITU, KILA MTU AFANYE AOLEWE, OLE WAKO USIOLEWE UMEKWISHAAAA! Hapa ndo UNAFIKI WENU UNAPONICHOSHA ZAIDIIIII! Hahaaa! WAKATI NIKIWABANA MBAVU KAMA HAPA MNAKIRI NDOA NI MSALABA,! Bila kuwabana mbavu mngekubali NDOA NI MSALABA.? Hahaaaaa!
Kuna sjosti wangu akiilizwa ndoa vipi? ANAPIGA I CANT BE ANY HAPPIER! Huku ananikata jicko la dont you dare to speak anything, coz anajua najua ndio ya sio! Hahaaaa!

Kwanini msiwe wawazi tu, kuwa hata humu ndoani SOME TIMES YES, SOMETIMES NO KAMA HUKO KWINGINE! MUST YOU BE HAPPY ALL THHE TIME OR TRY SO HARD YO COMVISE PEOPLE YOU COULDNT BE ANY HAPPIER?
 

Wanandoa wanafiki watazaa ndoa nafiki,haimaanishi ndoa zote duniani na wanandoa wote duniani ni wanafiki ,ukweli ubaki ukweli,ngoja nitoe zawadi nitarudi,kuna mwingine anaingia kwenye hii hii taasisi.
 

Nashukuru mmeanza kukubali WANAFIKI WAMO NDANI YA HIO INSTITUTION, NA AS LONG AS WANAFIKI WAMO BASI TAAISI INA UNAFIKI NDANI YAKE! Na kama ina unafiki ndani yake si uonho kusema ya kinafiki! No further questions your honor!
 
Wanandoa wanafiki watazaa ndoa nafiki,haimaanishi ndoa zote duniani na wanandoa wote duniani ni wanafiki ,ukweli ubaki ukweli,ngoja nitoe zawadi nitarudi,kuna mwingine anaingia kwenye hii hii taasisi.
Hahaaaa! NA TAASISI YENYE MCHANGANYIKO WA WANAFIKI NA WASAFI HAIWEZI KUWA SAFI PER SE!! Hahhaaaa!
 
Nashukuru mmeanza kukubali WANAFIKI WAMO NDANI YA HIO INSTITUTION, NA AS LONG AS WANAFIKI WAMO BASI TAAISI INA UNAFIKI NDANI YAKE! Na kama ina unafiki ndani yake si uonho kusema ya kinafiki! No further questions your honor!

Hahaha...tatizo lako nimeliona....usilazimishe hoja kama ivi...unapokosea ni kuanzia apo "as long as..."...hiyo i fallacy.... huwezi kisema "NA AS LONG AS WANAFIKI WAMO BASI TAAISI INA UNAFIKI NDANI YAKE! Na kama ina unafiki ndani yake si uonho kusema ya kinafiki!"

Hapo unaharibu big time. Nashauri ukarudie tena kusoma kuhusu taasisi ya ndoa na wanandoa, kisha usome maana ya unafiki halafu uvioanishe uone kama utahitimisha kama hivyo.....

Mwaliko wangu uko wapi au ndo.umeanza unafiki?:what:
 

Karibu sana,niambie tu nikuandalie nini,tena ikibidi tukutane maeneo yetu ya kujidai,lolz hapa tutaitwa wanafiki.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana,niambie tu nikuandalie nini,tena ikibidi tukutane maeneo yetu ya kujidai,lolz hapa tutaitwa wanafiki.

Hahahaa umeona ee everlenk....naomba nitambue juhudi zako za kumsomesha huyu binti lara 1, dawa inaingia kidogo kidogo lazima kieleweke...asante kwa mwaliko jaman
 
Last edited by a moderator:

Hahaha!! Lara wewe chiboko!! Tunaenda mbele tunarudi nyuma yaan unanitingisha tingisha weeee,karata zote ziko mezani toka sredi yetu ilee,nani aliyesema ndoa tambarare?mabaya na mazur yote tumesema hadi chanzo cha yote haya tumesema lakini hii haitufanyi tuseme ndoa ni taasisi ya kinafiki.

Najua wote hatuwezi kuoa/kuolewa lakin hainifanyi niseme ambao hawako ndoani wamepotea,ndoa si chakula ati mwanadamu akikosa atakufa,ndo maana wako mapadre, masista n.k na wanaishi happy.


Nyakati za kutofautiana kwa wanandoa hazifanyi tuihukumu hii taasisi ni unafiki,wazazi tu waliotuzaa tunatofautiana seuze mtu uliyemjua ukubwani?
 

Hahaaaa! USIKWEPEEEE! Sasa USHAKUBALI BAADHI NI WANAFIKI, TAASISI YENYE BAADHI YA MEMBA WANAFIKI ITAKUWAJE PURE? Huwezi kuwaignore WALE WANAFIKI UKIDRAW CONCLUSION HATA KODOGO!
 


NDO TUMEFIKA HITIMISJO NYIE KUKUBALI KUWA KWELI WANAFIKI WAMO WA KUTOSHA TU NDOANI, SI ETI, SASA TAASIS YANYE WANAFIKI WA KUTOSHA NA WASAFI KIDOGO ITAKUWAJE SAFI.????? Maana ya NOBLE MNAIJUA LAKINI! Mu hawezi kuwa anatenda maovu na mema AKAITW NOBLE HATA SEKUNDE MOJA! Hahaahaaaaaaaa! Hapa hamna pakutokea!
 
Okay i take this as your explanation to why MARRIAGE IS A VERY VERY NOBLE INSTITUTION! Hahahaaaaa! Need i say YOU SURPASSED MY EXPECTATIONS! Im beyond IMPRESSED! Hulalaaaaaaaaaaaa! What a noble institution it is!
Wrong, there is a huge difference between NOBLE and hypocricy....

I think you are confused and it is really fooking your anlytical skills

as for expectations, there are no expectations, if you had any expectations as far as i am concerned... Then i must be missing somethin.... Definitely

pole sana... Its a below par from you again
 
Hahaaaa! USIKWEPEEEE! Sasa USHAKUBALI BAADHI NI WANAFIKI, TAASISI YENYE BAADHI YA MEMBA WANAFIKI ITAKUWAJE PURE? Huwezi kuwaignore WALE WANAFIKI UKIDRAW CONCLUSION HATA KODOGO!

Sikia..dunia ni sehemu nzuri sana kuishi..lakini baadhi ya watymu wanapafanya pawe pagumu kwa baadhi ya watu pia....dunia ni mbaya? Dunia ni ya kinafiki?

Leo tunasali wapi?
 
So arogant! we umeolewa? kama hujaolewa usiseme kitu usichokijua na kama umeolewa ndoa yako ndo taasis ya kinafiki..
 


Hahahaaaa! Kumbe ulikuwa unafatilia mdogo mdogo! I couldnt have guessed!

CAN A HYPOCRITIC PERSON BE A NOBLE OR SACRED PERAON? Naomba unijibu hili !

YAH I HAD EXPECTATIONS THAT YOU WILL PROVE BEYOND REASONABLE DOUBT THAT MARRIAGE IS A NOBLE SACRED INSTITUTION WITHOUT ANY TRACES OF HYPOCRICY! And your asurd reaction proved you CANT!

Its a below par whih ofcourse threw.TANTRUM in here!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…