Lates say yes i am arrogant na sijaolewa WILL IT CHANGE THE FACT THAT DIVORCE RATE IMEONGEZEKA, BASTARD CHILDREN WAMEONGEZEKA, MICHEPUKO IMEONGEZEKA, KUFA NA NGOMA WANA TAASISI WENZENU KUMEONGEZEKA, ETC! MPAKA PSI WAMEAMUA KUTUMIA MILLIONS KUVUNJA UKIMYAAAA! Will my arrogance change that?So arogant! we umeolewa? kama hujaolewa usiseme kitu usichokijua na kama umeolewa ndoa yako ndo taasis ya kinafiki..
Sikia..dunia ni sehemu nzuri sana kuishi..lakini baadhi ya watymu wanapafanya pawe pagumu kwa baadhi ya watu pia....dunia ni mbaya? Dunia ni ya kinafiki?
Leo tunasali wapi?
Kwenda kwangu millage HOW DOES IT MAKE MARRIAGE A NOBLE, SACRED INSTITUTION AGAIN..? Ingekuwa nikienda millage taasisi inapunguza unafiki mbona ningeenda mpaka kifaa kiache kusoma! Hahaaa! BUT WE ALL KNOW YOU AR WHO YOU ARE BUNCH HYPOCRITES!....must be!!!!
hata mandolini hujiona kama panamera
At least now umejaribu ku-maintain a good balance katika maelezo yako.Kwa hio TALAKA ZOOOTE MAHAKAMANI PIA UNREALISTIC, NA PSI UJIMBE WAO ULE AAAH UMEKOSEWA HAMNA ANAE CHEPUKA?, Na waume za watu manake hii pia YAHITAJI experience tunaowachunaa aaah ni unrealistic kabisaa, kila mume yuko kwa mkewe, na hkuna mtoto aliezaliwa nje ya ndo, MA KWELI MALEZI YA LARA 1 NDO YAMELETA YOTE HAYAAAA DUUUUUUUUUU!
Hahahaaaaaaaaaaaa! ALL YOU HAVE TO DO IS LOK AT THE STATISTICS sisi FINANCERS TUNASEMA UNATUMIA PAST DATA, KUFANZA HORIZONTAL ANALYSIS, NA VERTICAL ANALYSIS THEN UNA UNA PREDICT NA SPECULATE MOVEMENT YA FINANCIAL AU MONEY MARKET INSTRUMENTS.
At least now umejaribu ku-maintain a good balance katika maelezo yako.
Hata sisi lawyers twatumia precedences lakini kama mko kwenye same line of hierarchy unakuwa huru ku-depart from the previous decisions na kutengeneza rule mpya ( historia si hitimisho)...nawe pia waweza fanya mapya ndani ya ndoa.
Mi nishatoka! Mnalala sanaa tatizo!
kama hujui cha kunijibu the remain quiet...unacho cha kunijibu ndiyo maana umeandika.Point of correction !..sijaongelea ndoa yangu hapa either.So far,am happily married, afu sjui nikujbu nini manake unasema haukubaliani uku your themes inatetea mine"si umesema unajibu maudhuhi mengne hayakuhusu,so do I!..and wewe ndio uliedai at first kuhusu fake ids humu nikakushangaa znahusu mini"in short naona hunielew sjui or you are trying so hard to plaster the reality ,..mi naenjoy ndoa yangu it doesn't mean majority do!!!..members Wa humu wengi hawaheshmu ndoa zao at all ata uku mtaani tunaona pia so kudharauliwa is inevitable
Hit the point, wapi na aje?Hahaha yani humu humu unakataa na humu humu una kubali!
Nimekuelewa na hii ina maana upo ndoani mambo safi kabisa big up kwa shemeji
Unajua kinachobishaniwa hapa kidogo sana
Ndoa kama taasisi hatuwezi kuiita ya kinafiki
Wanandoa wanaweza kuwa wanafiki(baadhi) na hiyo ni kawaida kabisa.
Na huo unafiki si kwenye taasisi ya ndoa tu..hata taasisi nyingine...upadre na mapadre, mwadhini na kuadhini, Rais na Urais, udaktari na madaktari, the list is endless.
Baada ya kusema hayo, tafadhali nasubiri mwaliko wa Eid kutoka kwa wafuatao: Heaven on Earth Kaunga Fixed Point lara 1 Mtambuzi miss neddy miss chagga sister Jeska Madame B everlink ICHANA
Nimekuelewa na hii ina maana upo ndoani mambo safi kabisa big up kwa shemeji
Unajua kinachobishaniwa hapa kidogo sana
Ndoa kama taasisi hatuwezi kuiita ya kinafiki
Wanandoa wanaweza kuwa wanafiki(baadhi) na hiyo ni kawaida kabisa.
Na huo unafiki si kwenye taasisi ya ndoa tu..hata taasisi nyingine...upadre na mapadre, mwadhini na kuadhini, Rais na Urais, udaktari na madaktari, the list is endless.
Baada ya kusema hayo, tafadhali nasubiri mwaliko wa Eid kutoka kwa wafuatao: Heaven on Earth Kaunga Fixed Point lara 1 Mtambuzi miss neddy miss chagga sister Jeska Madame B everlink ICHANA
utajigawaje sasa kaizer
Anueonghaseyoooooooooooooooooooooooooo!
Kutokana na watu kusafiria nyota yangu any allegations against me nazijibu kwa thread! Siendi kwenye thread ya mtu maana nakujazia trafic, unapata umaarufu, saivi nakula jasho langu mwenyewe! Mtasnisamehe! Ruksa kuniita Lara 1, jibu nitakupa ila kwa nakijibu kwa thread yangu!
Okaya kwasababu huu mjadala bado unauza tuendelee nao mpaka utakapo acha kuuza.
SIFUTI KAULI MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION 101. Kwa hoja zifuatazo!
Ni institution ya kibinadamu automatically. Ule uana damu hauwezi katu kutenganishwa na UNAFIKI! Ni jadi tu ya wanadamu hio katika hood way kama kuwa senstivie, kuwa polite, au bad way kama kuchachua au kutaka mwenzio asikuzidi! EITHER WAY UNAFIKI NI UNAFIKI UWE MZURI AU MBAYA!
Ndoa ni part ya jamii TUNAMOISHI KILA SIKU, is not as if wanandoa mnakaa MARS afu wengineo waseja, single, mabachela wanakaa pluto useme huwezi kujua ya ndoani! Thbutuuuuuuu! Hao hao wanandoa ni watu ndugu, jamaa, marafiki, majirani unaiteract nao, wanatoa testimony, wanahanyaa hanyaa vikinuka humo humo kwenye jamii! So tunayajua uzuuuuuriiiiii!
(Kipengele hiki kimefutwa kwa maombi ya wengi kuwa kiliwakwaza, kuwanyima uhuru wa ku comment! na kuingilia mipaka ya kidini, na kuleta hisi za blasphemmy na Kwa kuweka hiki kipengele Nakuungamia Mungu wangu na nanyi ndugu zangu nilikosa mnoo, nilikosa mimi kurefer kule, nilikosa sanaa! Na nimefuta naomba mnisamehe na Mungu anisamehe pia.) Kishatoka tuendelee na mada!
Increased divorce rates, marriage councelling, maombi na mifungo, vikao vya ukoo, kutimka kwa mapatna, kuzaa na wanawake tofauti tofauti wakati mke unae ndani inaonesha jinsi gani HALI SI SHWARI na upepo unapoolekea siko! Ikiwa mambo ni SWARIIIIIIII ndani ya hio taasis mbona matemdo tuyaonayo kwenye jamii ni CONTRARY na ushswariii? MBA Married But Available mmeongezeka sanaaa siku hizi! Hadi mtu anaamua makusudikally kuzaa na mume wa mtu, na mume anakubali pasipo kushurutishwa na mtu yeyote! HYPOCRARICY KWA BAADHI YENU IMEANZA KUGEUKA CONSPIRACY! Kuzaa nje makusudi ni CONSPIRACY kabisaa hio! Kuiita HYPOCRICY NI UNDERSTATEMENT!
The bi.tch KARMA nae pia ni source ya hii HYPOCRICY! Hamna mtu ana oa au olewa ili aachike, no! I am the special one theory ambapo kila mtu anajiona special! Sasa KARMA ndo inaletaga mtafaruku na mitafutano kibaoo na ni moja ya michimbuko kuu la HYPOCRISY pale tu Mother KARMA anaamua kumsulubisha mmoja, na kumzidishia mmoja! Usiombe mwanaume ndo msalaba ukuhusu! Hulalaaaa! Plus KARMA ndo inasababisha watu expectations zao while they marry zisitimie kwa makusudi, au ziyumbe yumbe na kusababisha mwenye unmet expectations akumbwe na kigugumizi cha WHETHER TO REMAIN A LOOSER AND KEEP TRYING HARD OR WALK AWAY! Hapa watoto wa mjini sifa yenu kubwa ni KI WALK AWAY!
Siple equation! Ndoa = binadamu +binadamu, binadamu = unafiki (moja ya sifa wanyama wengine hawana) Hence UNAFIKI +UNAFIKI =??????????? Mi chichemiii!
Unafiki unaweza kukabiliwa kwa Kuu ignore, ku u confront, ku walk away, kujicomvise hauexist japo kona ya mwisho ya moyoni inajua upo, kuuzoea tu na kuufanya part ya maisha yako, kumuomba Mungu, ETC japo hivo voote haviondoi maina point kuwa UPO!
Na challange yetu wana wa adamu ni HOW BOLD ARE YOU? Je utaruhusu unafiki wa mwenzio ukutafunee nafsi till u walk away from 10 yrs of ya life? Je are you strong enough to turn a blind eye? Are you weak enough to give up everything for just few mistakes? Are you fast enough to change your fate? Are you powerful enough to influence conduct za mtu mwenye oblongata yake? HII SASA INATEGEMEA NTU NTU!
Viongozi wa dini mtanisamehe, na pia nitatubu binafsi kuitoa hii hoja kwa makwazo nitayo wapa! BUT IT IS WHAT IT IS!
Kubalini tu kuna baadhi yenu WMEJITAHIDI MNOO KUIPAKA MATOPE HII TAASISI KWA MATENDO YAO yasiyo ya kiungwana na imelipa! Hahaaa! Kuna mtu ofisin nilimwambia ujue unaipaka matope taasis akanijibu NANI MSAFI ASIE IPAKA MATOPE? Hahaaa! 0 remorse! Nikamwambia flani, akanijibu hujamjua tu, kachungulie sim ya flani! Hahahaaa! ONE MAN CAN MAKE A DIFFRENCE TRY TO BE THAT ONE MAN! Mmoja moja MAY BE, and i mean MAY BE mnaweza kurudisha lost glory! Ila hivi sasa aaaaah! People dnt even try wamekubali tu ku accomodate hypocrisy kama part ya package!
Ni kazi chafu ila ilinilazimu kuifanya! Leo ukijisikia kutukana tukanaaaa mpaka roho yako itakate isiingie Iddi na kinyongo! Afterall hio ndo silaha ya mnyonge! Ubishani wa hoja nitajibi!
THE FEAST TO KILL THE MESSENGER MAY BEGIN! Hahaaaaa!
In any academic issues generalization has to be taken with care. Udanganyifu upo kweli, lakini kwa kiasi gani. Yawezekana hata wewe ni matunda ya ndoa, lakini je umepatikana kwa misingi ya Hippocratic? Maana aisifuye mvua huenda imemnyea. Kusema wanachama wa CCM wanavaa mashati ya Kijani na suruali nyeusi, Lara 1 amevaa shati la kijani na suruali nyeusi, basi ni mwana CCM. sio kweli. Unapaswa kwenda mbali zaidi ya hapo.
Hoja yako ingalikuwa na nguvu kama ungechukua takwimu za idadi ya wanandoa katika kijiji cha jamii ya wakristo, halafu ukatuambia ni ndoa ngapi zenye matatizo uliyoyasema, kijiji cha Waislam, wapagani, Walokole, Wakatoliki nk, ndipo uje na hitimisho lako.
Kuangalia uzoefu wa wanajamii unaoishi nao wewe na kuchukua uzoefu wako, inawezakane isitupe hitimisho la kisayansi kwa sababu ndege wa rangi moja huruka pamoja hivyo jamii unayo interact nayo wewe na wewe unaviashiria vya tabia hizo, na malezi yanayofanana na hayo ni lazima utapata hitimisho la uzoefu wako na watu unaozoea kukutana nao kwa sababu ndiyo mazingira yako. Mwizi huwa haamini kama kuna watu sio wezi, mzinzi haamini katu kama kuna watu sio wazinzi. Kimtokacho mtu mdomoni ndicho kilichomjaa kifuani.Ukweli ni kuwa wapo watu waaminifu kabisa kabisa. Hiyo unayosema ni hypothesis tu inayotakiwa kuangaliwa magnitude yake, test the hypothesis it might rejected of the field
kama hujui cha kunijibu the remain quiet...unacho cha kunijibu ndiyo maana umeandika.
Usitafsiri maandishi yangu kwa kutumia emotions zako...ukiamua kunielewa utanielewa otherwise hutanielewa pia.
Nawe usidhani wengi wapigao makelele kuwa ndoa hazifai/zina matatizo now days wana-enjoy kundelea kuwa single...na kwanini utumie historia za wenzako kujitafsiri wewe na kuwa-discourage ambao hawajaingia ndoani?
NDO TUMEFIKA HITIMISJO NYIE KUKUBALI KUWA KWELI WANAFIKI WAMO WA KUTOSHA TU NDOANI, SI ETI, SASA TAASIS YANYE WANAFIKI WA KUTOSHA NA WASAFI KIDOGO ITAKUWAJE SAFI.????? Maana ya NOBLE MNAIJUA LAKINI! Mu hawezi kuwa anatenda maovu na mema AKAITW NOBLE HATA SEKUNDE MOJA! Hahaahaaaaaaaa! Hapa hamna pakutokea!
Hahaaaaa! SASA TAASISI YENYE MCHANGANYIKO WA WANAFIKI NA WASAFI ITAKUWAJE SAFI? Hii tu ndo hoja yangu!Hatukatai wanafiki baadhi hawapo lakini haindoi ukweli,mpaka mwisho wa dunia ukweli utabaki ukweli ndoa kama ndoa si taasisi ya unafiki,endelea kuamini unachoamini haitufanyi sisi wote wanandoa ni wanafiki na wala hatujisikii wanafiki,wala hatujawekwa chapa kwamb ni wanafiki,wakiwemo wanafiki 100 haifanyi 100000 ni wanafiki,wanandoa wanafiki watazaa ndoa nafiki,wanandoa halisi watazaa ndoa halisi, kila mmoja atavuna alichopanda.
Uwe na wikiend njema mumy.
EXCELLENT! Nadhamni mmekubali WANANDOA WANAFIKI WAPO WAKUTOSHA NA WASAFI PIA WAPO! Sasa hio generalisation yenu ya kusema NDOA IS A NOBLE ISNTITUTION MIMI NDO SIJAIKUBALI HOW CAN A NOBLE ISTITUTOON ACCOMODATE HYPOCRITES.? Umeonaaaa! So hata nyie kugeneralise ndoa is a noble institution mnatupiga changa la macho!
Cc Kaizer u like na hii sio kujikausha!
Kuwa na hakika kuwa ni uelewa wangu au wa kwako ni mdogo...obvious yours!We mi sjui uelewa mdogo au umeanzia mada kati kati manake unajikanyaga husomeki..unakubali unakataa hapohapo yaan nahisi uvivuuu kujibishana na wewe!..emotions,descouragements,..una any prove kwa hayo?..Mi naongoa kivyangu kama nimekudiscourage whateverrrr its up to wewe ...so ulitaka nisemeje kwakuwa ya kwangu ipo happy basi zote zipo hvyo ata kma uhalisia tunauona sivyo??khaaaaaaaaaaaaa bwana weeh usinichoshe miee sjawashkilia ufahamu wana ndoa kutojiheshmu its their take,wait aka kuheshmiwa wajiheshmu full stop nadhani wewe ndo huna cha kujibu ..hoja jibu sio blablah