Marriage is an outdated concept

Sa kama kigezo ualimu si unichukue mie tu, ya kusuka haitahusu nanyoa utakua unanipa ya kunyoa au unanunua mkasi unaninyoa tu gero
 
Ku outdate ndoa kwa hofu ya kugawana mali siyo hoja yenye mashiko.

Kuna sababu nyingi za maana zaidi.
 
Kuna watu sio waoaji wanatafuta visingizio tu! Which is very okay.

Kuna watu hawawezi kuishi na watu, hivyo kuoa kwako ni salama zaidi.

Mali gani? Majaba, masufuria, na sabufa za Alitop? Na plot za 20*20 πŸ˜‚
Kama kuna watu sio waoaji hamaniishi ya kwamba ni sawa kwa waoaji wakandamizwe na sheria husika. Suala ni sheria kuwekwa katika mzani sawa iwe kwa muoaji na ambae sio muoaji ili ikitokea kutengana na mwenzake kuwe na fair playing ground.
 
Baadhi ya wanaume kinachowakwamisha ni ubinafsi na kushindwa kwao kujitoa kwa ajili ya wengine na si vinginevyo.
 
Kama kuna watu sio waoaji hamaniishi ya kwamba ni sawa kwa waoaji wakandamizwe na sheria husika. Suala ni sheria kuwekwa katika mzani sawa iwe kwa muoaji na ambae sio muoaji ili ikitokea kutengana na mwenzake kuwe na fair playing ground.
Jamii zote za watu wastaarabu wanatunga sheria kuprotect victims na minorities.

Kwahiyo kama wanaume ni victim na minorities sheria zinatakiwa zitungwe kwaajili yenu.

Historically kuna sababu ya kwanini sheria hizo zilitungwa, hivyo kama zina mapungufu mlitumie bunge ku-legislate in your favours.

Tatizo lako ni sheria au ndoa yenyewe? Refer kichwa cha uzi wako.
 
Naungana na hoja katika aya zako tatu za mwanzo ndio maana nikasema sheria ilitungwa kwa kumchora mwanamke wa zamani hakupewa haki nyingi sana ikiwemo elimu na ajira sasa kama mwanamke hana ajira ataishi vipi sasa hapa ndipo inakuja hoja ya kwamba atatakiwa kuhudumiwa na mwanaume hata mgao wa mali anastahili kama jamii inambana sasa akiachwa hana ajira hana makazi ataoshi vipi? Lazima apate gawio lake. Kwa sasa mwanamke kapewa access zote za kutoboa ikiwemo ajira, elimu, kumiliki mali n.k ivyo akiamua kuishi bila kujishughulisha na chochote hayo ni maamuzi yake sio sawa kuchota mali za mwanaume kumpa mwanamke ambae alipewa access zote za kujitafutia ila akufanya ivyo. Ndio maana nikasema sheria imepitwa na wakati sababu mwanamke sio inferior tena kama kipindi ambacho sheria hii ilitungwa.

Kuhusu aya yako ya mwisho, mimi sikatai mahusiano ya mwanamke na mwanamke kimapenzi. Mahusiano yana kupanda na kushuka, nyakati nzuri ja nyakati chungu ni vyema mkakaa chini kumaliza tofauti zenu..kinachonitatiza ni vipengere vya ule mkataba wa ndoa mnaotakiwa kusaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…