Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Kwanini?Sitakii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?Sitakii
HayaPoint yangu ni jumuishi sijamlenga mtu yoyote binafsi
Unacheka nini shemeji?? 😜😅😅😅😅 Nimejikuta nacheka tu
HamnaKwanini?
Jibu lako tu, inaonekana wakati unatype ulimfyonya pia 😅Unacheka nini shemeji?? 😜
🤦🤦🤦Hamna
😂😂😂😂 anazinguaJibu lako tu, inaonekana wakati unatype ulimfyonya pia 😅
Kwa wanawake wa sasa lazima kuwa macho mkuuNdoa
_____
Sio kila mwanaume anaweza kuoa na sio kila mwanamke anaweza kuolewa"....marriage is not for everyone" kwani si kila anayeonekana mwanaume ni mwanaume & mwanamke ni mwanamke .. nisiingie in details.
..kuoa/kuolewa na kuishi kwenye ndoa yenye amani ni ndoto ya kila mwanaume na mwanamke anayejitambua na anayejua anataka nini hapa duniani.
Wanaume tunapoowa hatutakiwi kufikiria kuachana na vijimali vyetu vya hapa na pale ......hiyo ni ajali km ajali nyingine, haina kinga...ni km unaponunua gari hautakiwi kufikiri kuhusu ajali na kusema "kataa kumiliki gari".
Ni kweliSheria ya ndoa imemtasfiri mwanamke wa kizazi cha nyuma kidogo ambae alikua na maadili mema, mtiifu na ana dhamira ya dhati kuidumisha ndoa yake. Kwa sasa wanawake wamejanjaluka na washaona sheria ya ndoa na mahusiano kiujumla ina mianya ambayo inaweza kuwapa pesa/utajiri kirahisi.
Hata wanawake wanaotetea ndoa point zao huwa wanazielekeza zaidi kwenye kuonyesha madhaifu ya wanaume ili ionekane jinsia zote mbili zina shida lakini hapo kwenye upendeleo wanaopewa na sheria mfano kugawana mali ambazo hawanashiriki kuzitafuta huwa hawapagusi.
Kwa mwanaume mwenye ndoto kubwa za kufika mbali kiuchumi basi ndoa ni mtego mkali sana ambao uko mbeleni unaweza kwenda kuiangusha himaya yako uliyoitolea jasho kuijenga kwa miongo mingi
Kwa mwanamke ambae hana mchango wa moja kwa moja kwenye shughuli za kiuchumi za mwanaume sioni kama ana uhalali wa kupata mgao wa mali baada ya ndoa kuvunjika, hivi mke ambae ni std 7 au o-level failure atatoa mchango gani kuhusu masuala ya tax clearance au business law kwenye biashara zangu?
Kama suala ni kuitunza nyumba na kunipikia chakula je yeye alikua haishi hapo? Alikua hali hapo? Kama mimi natakiwa kufidia muda na jitihada zake kunitunzia nyumba na kunipikiq chakula kupitia kugawana mali mbona mwanamke hawajibiki kunirudishia fidia ya gharama nilizoingia kumpa hifadhi na chakula na matunzo mengine(mavazi, matibabu n.k)?
Kuna watu watakuja hapa kusema vijana tunaona malaya, tunachagua mke instagramu n.k, lakini kumbuka watu wanabadilika hata ukimchukua mke ambae hajasoma uko kijijini sio guatantee ya kusema atabaki ivyo ivyo siku zote.
Hofu ya mustakabali wa maisha ndio umfanya mwanamke aone ndoa ni security kwake. Mwanamke huyu akishapata uhakika wa mustakabli wa maisha yake bila kumtegemea mwanaume basi uona mwanaume ni kikwazo kwake katika kujitawala na hapa ndipo hekaheka zinaanza. Ni wakati wa sheria kumuangalia mwanamke pia kama predator.
Imani yangu iko siku utaona umuhimu wake, aidha iwe ujanani kwako au uzeeni.Tunajitoa sanaa kwenye jamii Ila NDOA ni BIG NOOOO.
#YNWA
Watu wamevurugwa, twende nao aste aste 😅😅😂😂😂😂 anazingua
Uko sawa kabisa, tutazidi kuchangia kadiri muda utakavyoruhusu.Ni kweli mkuu. Nimeielezea moja unaweza ukatusaidia kutufafanulia na sababu zingine ndio maana lengo la section ya commemts tuna-share maarifa.
Hata zamani ilikuwa ni lazima kuwa macho.Kwa wanawake wa sasa lazima kuwa macho mkuu
Mkuu hapo kwenye point yako namba mbili nafikiri umesahau kitu kimoja tu, hiyo zamani wakati sifa za mwanamke kuolewa zilikuwa ni bikira na tabia njema zilikuwa ni enzi ambazo wanaume hawatongozi wanawake hovyo ili wapunguze tu upwiru, bali mwanaume alikuwa akimpenda mwanamke anaenda direct kwao kumchumbia na kumtolea mahari kisha anapewa mke wanaanza maisha ya ndoaNadhani unayo hoja ya msingi kabisa. Ila kukufumbua macho zaidi ni vema ukafahamu kuwa ndoa haijawai wala haitawahi kuja kuwa outdated concept bali shida ni wahusika wanaoingia ndani ya ndoa kutokuwa na vigezo au uwezo wa kusimama ndani ya ndoa.
Kuna sababu ambazo kimsingi zinasababisha ndoa katika kizazi cha sasa kuwa kazi kubwa kuitumikia, na sababu zenyewe ni kama ifuatavyo:
1. Ndoa ni taasisi, na kila taasisi ndani yake ina watendaji wenye vigezo na uwezo wa kuitumikia. Huwezi kuajiri askari jeshi bila mafunzo ya jeshi. Huwezi ajiri muhasibu bila kufuzu mafunzo ya chuo na CPA, huwezi ajiri mkemia bila kuwa na cheti cha mkemia, je kwenye ndoa, hawa mabinti wa kisasa na vijana ni wapi hukaa kambi hata ya mwaka m'moja kupitia mafunzo makali ya ndoa?
2. Wanaume wameshusha sana standards zao kwa wanawake na wanawake wamepandisha sana standards zao kwa wanaume. Mwanamke zamani aliqualify kuwa mke kwa kuwa bikra kama sifa ya lazima, halafu tabia nzuri ikawekwa kama sifa inayofuata ya lazima.
Leo hii wanaume hii sifa hamuhangaiki nayo tena wanaume wengine wanatetea kabisa kwa kusema kwan kuna ubaya gani akiwa hana bikra, hawa ni wanaume wanaotetea si wanawake, sasa kwann wanawake wasikubaliane na huo uhalisia kuwa wanaume hawana shida na bikra watatuoa hata wakikuta tulishazaa na wanaume kwahiyo wacha tukachezewe kuna mabwege yatatulipia mahari na kutuoa.
3. Wanaume miaka hii wamekuwa wakwepa majukumu au wabeba majukumu yasiyowahusu. Mwanaume anazaa na binti ila hajui wajibu wake kama Mume na baba, hajui majukumu yake kwa kitu alichokianzisha mwenyewe anatoa toa macho kama ng'ombe na kusubiria wakwe, mashemeji, na familia yake wafanye jambo kumsaidia. Au anakutana na mwanamke ambaye sio wake ana watoto yeye huyo kabebelea, ni wa kwako? Kwann usitafute wa kwako? Hiyo roho nzuri si ungelea watoto wa dungu zako wenye hali ngumu, kwenda kulea mabao ya watu halafu ndio uitwe mwanaume wa shoka ni ujinga kutoka sayari gani huo? [emoji848] Kwa sampuli hii ya wanaume ndoa haiwezi kuwa imara.
4. Kudharau mafunzo ya kimaadili na Maagizo ya mwenyezi MUNGU ambayo kaagiza watu kuyafuata ili kuwa imara kiimani na kimwili ila viburi sasa vya wanadamu leo ndio matokeo yake tupo hapa ndoa zinaendeshwa kwa idea za movies za Hollywood, tamthiria za Telemundo, na hawa relationship coaches wa mitandaoni.
5. Wanawake wa sasa ni wavivu eneo la ndoa ila wanabidii kujihangaikia. Mwanamke unaweza mkuta alikuwa amepanga analipa Kodi kwa biashara ndogo ndogo au ameajiriwa lakini siku ukianza kaa nae ndani hatochangia hata 1000 endapo kutakuwa na dharula na mwanaume haupo karibu au haupo na vema kiuchumi kwa kukwambia wewe ni mwanaume as if yeye ndie huwa analipa 100% ya bills. Kwa kifupi ubinafsi.
So kimsingi Ndoa haijawai na haitakuja kuwa outdated concept shida ni wahusika kutokutambua na kusimamia vigezo vya ndoa na kuisimamia vilivyo kwa kila mojawapo kukaa eneo lake na si kuingiliana.
Mpaka leo Ronaldo na mahela yake yote hajamuoa huyu demu wake Georgina Rodriguez na kashamzalisha watoto 4Ni wakati wa sheria kumuangalia mwanamke pia kama predator.
Umri ni kigezo kimoja wapo cha kupata wa kukuoa, umri ukienda haurudi, umri kadri unavyokwenda ndipo soko linaondoka na kutekwa na vibinti vya 2000'sKuna mkaka leo katoka kuniambia anataka kunioa😄
Unajua nikamjibu nini? 'Bado niponipo kwanza'
😂Mali zenyewe unazo ww mwenyewe ajira huna??
Unaongea nini wewe, si bora hayo majaba, na sufuria, kule marekani ambako wabongo tunasema kumeendelea kulifanywa utafiti, asilimia 20 hadi 30 ya wanawake walienda kwenye date na wanaume wasiowapenda, ili tu wakale chakula cha bure.Kuna watu sio waoaji wanatafuta visingizio tu! Which is very okay.
Kuna watu hawawezi kuishi na watu, hivyo kuoa kwako ni salama zaidi.
Mali gani? Majaba, masufuria, na sabufa za Alitop? Na plot za 20*20 😂