Marriage is not for everyone

I have gone through your writing extremely carefully,with a lot of patience,understanding and concern.It would be suicidal for me to try to convince you ,contrary to what you believe now,as the trauma which you have passed through is privy to yourself.What I can tell,is give yourself time to heal,and use your subconscious mind to rebuild your conscious mind to find a place in your mind to forgive
 
Mi huwa nashangaa Yaan vitu viskiharibika katika mahusiano Ndio uchukie ndoa ukiona vitu vimeshindikana huyo sio wako,mtu mmoja anakufanya uchukie ndoa
Na Bado mtasemaa
Umetoa ushauri fulani hivi kana kwamba hautakuja kuwa kwenye mahusiano ya mapenzi au ndoa au kuishi na mwenzi angalia. Angalia mkuu.
 
Umetoa ushauri fulani hivi kana kwamba hautakuja kuwa kwenye mahusiano ya mapenzi au ndoa au kuishi na mwenzi angalia. Angalia mkuu.
Ndoa ikishindikana na mwingine itawezekana kwa mwingine
 
Ukitaka ndoa ikuperekeshe wewe ichukulie tu serious

Lkn ukiichukilia as a pray utawini sana

Wale wanaochukulia lzm hiki , iwe vile , sitaki hiki ndiyo wanavunjwa mioyo sana

Nawakumbusha , uwe changeable time to time

Kumbuka uliyenaye ni kiumbe cha tofauti na wewe just create your own happiness na aman yako


Uwe na kiasi ktk yote , usipende kujihukumu Wala kumhukumu mwenzako

Uwe na uwezo wa kutokutabilika kbs
 
Asante kwa ushauri tunaoendelea kuchukua maoni tukishaingia tuwe changeable
 
Drone upo mkuu! Maana hizi ndoa tunapigwa tu wanaume kila siku maumivu. Ndoa is for women benefits. Utapeli tu drone!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…