Marriage is not for everyone

Vintage1q nafurahi kukuona ukiwa live tena! Natambua safari ya miba na iliyojaa mbigili na giza nene! Kikubwa hukukata tamaa na hukupoteza imani yako kwa Mungu wako.. Kumepambazuka sasa! Ashukuriwe Mungu mkuu

Ulichoandika hapa ni tone tu ya yale uliyopitia na sijui ni wangapi wanaweza kuvaa viatu vyako.. Wengi havitawatosha, nina hakika! Vitawabana na watavivua na kuvitupa

Zile zilikuwa ni nyakati ngumu sana kwako but daima Mungu huwa hamtupi mja wake... Umesimama imara na sasa uko imara zaidi
Wewe kwasasa ni jambia lenye makali kuwili.. Jambia ni zao la chuma, lakini chuma hakigeuki jambia bila kula nyundo za kutosha na kupitishwa kwenye moto mkali sana!
Wengi walipitishwa njia uliyopitia lakini wakashindwa, wakaishia njiani na leo hii hawapo tena duniani..Mungu ana neno nawe ishike sana imani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana Brother. Mungu mkuu azidi kukutunza. Wengi walinikimbia na kunikana kabisa katika kipindi hicho lakini uliamua kunishika mkono. Huwa ninakosa lugha ya kukuelezea wewe pamoja na familia yako zaidi ya machozi ya furaha. Nakukumbuka sana Brother.
 
[emoji1545]kumepambazuka sasa hata kiza kikija tena kutakuwa na mwanga na si giza totoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am having four kids,three boys and single girl,and if I give you one total number of them will b 5,are u ready to be the father of five?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Definitely yes, i will be glad to have such number of kids, in fact mimi nipe watatu ili tuwe nao saba kabisa kama siku za week[emoji4]
Mengine tutamaliza PM, isijekuwa kama mkataba wa bandari kila kitu hadharani
 
Definitely yes, i will be glad to have such number of kids, in fact mimi nipe watatu ili tuwe nao saba kabisa kama siku za week[emoji4]
Mengine tutamaliza PM, isijekuwa kama mkataba wa bandari kila kitu hadharani
Basi sawa,..tuutunze mkataba watanzania Wana nongwa
 
Una ujuzi wa fani ipi mkuu?

Na deal na hayo mambo ila sipo sehemu maalumu panapokucha naamkia kokote.
Nina degree ya Human resource management na driving license class A,B,D (sina uzoefu professional, ninaendesha tu gari ndogo binafsi ) Offshore Seamen.

Ila hata ikipatikana kazi ya field tofauti na hizo nafanya, cha msingi pesa tu Mkuu
 
Naona mmbo yashakua gumzo duniani kote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…