Marriage is not for everyone

Tatizo vijana siku hizi hawatak kumshirikisha Mungu awasaidie kupata mke bora
 
Narudia maneno
"EPUKA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI UJAMBAZI
NDOA NI WIZI
NDOA NI KICHAKA CHA WAOVU
NDOA NI UASHERATI😁😁😁"
Mwisho wa kunukuu
 
They say ,
Women age like milk
Men age like fine wine.
The older you get the odds of getting great women is for sure, so cheer up bro! And move to the next one
 
Kikristo kimecharazwa humoo!

Enewei, Ndoa sio kwa Kila Pipo ila kumbuka tu Sisi Ni Pipo...
 
Kwaiyo pipo wao hawana haki yakua na ndoa🤣
Sasa kama mambo yenyewe ndio haya, ndoa ya kazi gani sasa?

Ila kuna kautafiti kadogo bado nakafanya binafsi kwa hawa waliooa kwa mbwembwe na kurud wakiwa na machozi tele. Ila braza Kikristo kimecharazwa
 
Sasa kama mambo yenyewe ndio haya, ndoa ya kazi gani sasa?

Ila kuna kautafiti kadogo bado nakafanya binafsi kwa hawa waliooa kwa mbwembwe na kurud wakiwa na machozi tele. Ila braza Kikristo kimecharazwa
Htr
 
mara zote ukitafuta mke hali hii hutokea..lakini ukikutanishwa na mke utaishi vizuri na mkeo/ mumeo..

wengi mnatafuta badala ya kukutanishwa......
bible imeweka wazi kabisa kwa si kila mtu ni wa kuoa au kuolewa...

.NB: mke kukimbia na vitu vya ndani na kuacha watoto wake alowazaa...inafikirisha..
leo unajuta na kuumia lakini yawezekana huko nyuma kabla hajatimka ulikuwa baba na sio mume.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…