Marriage likely to make couples clinically obese

Marriage likely to make couples clinically obese

Babylon

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
1,332
Reaction score
83
It's official: Marriage DOES make you fat... Men and women twice as likely to be clinically obese after tying the knot

Last updated at 3:23 AM on 20th March 2010

It is often said that marriage makes you contented. Now scientists have discovered the extent to which that happiness translates into extra pounds around the waist.

Married men are three times as likely to suffer from abdominal obesity - or belly fat - as single men, their report shows.

Married women are twice as likely to have those problems as those who remain unmarried.

The Hellenic Medical Association for Obesity concluded that abdominal obesity was the worst health problem among married couples after conducting a survey of 17,341 people aged between 20 and 70.

article-1259280-059C6912000005DC-617_468x307.jpg
Tight squeeze: Abdominal obesity - or belly fat - is the worst problem among married couples​

Association president Dimitris Kiortsis joked: 'Next time you are wondering what wedding present to buy a friend, perhaps a slimming course might be a good idea.'
The researchers blamed married couples' expanding waistlines on the amount of time they sit together watching TV and eating. And they claimed that dwindling sex lives cut the number of calories that wedded couples lose with exercise.
As the findings were announced at a conference in Athens yesterday, Professor Kiortsis, an obesity expert, said married couples order takeaways and exercise less often than before.
Unmarried people often spend a lot of time keeping fit and making themselves attractive to find a partner.
'But once they get married they let themselves go,' he added. 'The need to hunt for a partner is reduced.'
But it wasn't all bad news for married couples.
Stress and anxiety is reduced in a good marriage,' said Professor Kiortsis. 'There is less smoking and therefore one's appetite increases.'
Last year, a report estimated that 22 per cent of newlywed women put on weight within a year of the ceremony, with the average gain being a stone-and-a-half.
More than half of those who took part in the survey of 3,000 married women, sponsored by yoghurt-maker Yakult, said they no longer worried about their appearance and weight after their wedding day.

Mapishi ya mke hayo, unafikiri mchezo.

On the other hand I suspect single men are just as likely to die of starvation 🙂

Pick your poison, death by belly fat or starvation.
 
Mapishi ya mke hayo, unafikiri mchezo.

On the other hand I suspect single men are just as likely to die of starvation 🙂

Pick your poison, death by belly fat or starvation.

Sidhani kaa ni mapishi peke yake. Inategemea zaidi na lifestyle. Kwenye article hiyo wanasema married couple wanatumia less takeaways than before, hii ina maana wanajipikilisha. and with that inaeza kuwa ni fursa nzuri ya ku-balance mlo kwa ku-control unachopika. Kwa upande, nadhani suala linaeza kuwa ni mazoezi na ile hali ya 'kuridhika' ukiwa kwenye ndoa.
 
Hii ni kweli. Kupikiwa vinono watu wanadhani ndio mahaba. Chanzo cha unene ni vyakula vya usiku, tena vyenye mafuta mengi, tena mtu anakula saa 3 na kulala mda huo huo. Usiku si wakati muafaka wa kufakamia
 
Sidhani kaa ni mapishi peke yake. Inategemea zaidi na lifestyle. Kwenye article hiyo wanasema married couple wanatumia less takeaways than before, hii ina maana wanajipikilisha. and with that inaeza kuwa ni fursa nzuri ya ku-balance mlo kwa ku-control unachopika. Kwa upande, nadhani suala linaeza kuwa ni mazoezi na ile hali ya 'kuridhika' ukiwa kwenye ndoa.

Unarudi pale pale kwenye mapishi ya nyumbani.

Mimi nilifikiri utaniambia married couples eat more take-away kwa hiyo si mapishi ya nyumbani.

Kama hawa balance inaonyesha wanaopika nyumbani hawako any better, in general, compared to wanaokula take-away, na hii perception ya kwamba kula chakula cha nyumbani ni vizuri zaidi kuliko take away inaweza kujaa myths.

Ripoti inaonyesha mapishi ya nyumbani kwa wengi hayafuatilii sana balanced diet kama tunavyofikiri.
 
...nakubaliana sana na haya, maana kawaida ya kina mama wa kikwete akiamua kukupenda na kukupikia mapochopocho basi utapikiwa chai ya maziwa na maandazi/vitumbua au mikate ya kumimina na wale wenye kauwezo Mayai na sausage

Chakula cha mchana na usiku unakumbana na msakasala mengine kama Pilau liloshehena mafuta! Kama ni ugali basi huku kuna Mchicha wa nanzi au kisamvu cha karanga kikisindikizwa na maharagwe yaloungwa kwa mawese!

Binafsi nimepiga kelele wee ya kupikiwa chukuchuku lakini inaonekana kama nampigia mbuzi gitaa vile...
Bila Mwenyewe kujihangaisha na mazoezi ya hapa na pale kuna hatari ya mwili kupoteza mvuto wake, au hata roho kuacha mwili kabla ya wakati wake kwa hizi BP na kisukari!
 
Kwa nini usionyeshe mfano kwa kuingia jikoni mwenyewe mazee?

Au kupika ni domain ya mke?
 
Kwa nini usionyeshe mfano kwa kuingia jikoni mwenyewe mazee?

Au kupika ni domain ya mke?

...aaah,
hayo ya kuingia jikoni, ufanye kwa wanawake wa kimagharibi bana.
Wanawake wa kikwetu ukiwafanyia hivyo kila siku 'adabu' nayo itapungua...(no offence intended)
 
Unarudi pale pale kwenye mapishi ya nyumbani.

Mimi nilifikiri utaniambia married couples eat more take-away kwa hiyo si mapishi ya nyumbani.

Kama hawa balance inaonyesha wanaopika nyumbani hawako any better, in general, compared to wanaokula take-away, na hii perception ya kwamba kula chakula cha nyumbani ni vizuri zaidi kuliko take away inaweza kujaa myths.

Ripoti inaonyesha mapishi ya nyumbani kwa wengi hayafuatilii sana balanced diet kama tunavyofikiri.

Article inasema kwenye hiyo research ..wanasema married couple wana tumia takeaways kwa kiwango kidogo zaidi, na pia hawajiweki in shape kwa mazoezi kwa sababu hawaoni umuhimu wa kuwa attractive. Haya sio maneno yangu.

Hoja yangu ni kuwa sioni kama kuna uzito kusema ukila nyumbani ndio utakuwa obese, mara nyingi ma-takeway huwa full of sugary, starchy and fatty content. Hivo naamini kwamba kuna factorial weight kubwa zaidi ya food kutoka kwa factors nyingine hususan kujiweka in shape na ile dhana ya 'kuridhika'.
 
Sidhani kaa ni mapishi peke yake. Inategemea zaidi na lifestyle. Kwenye article hiyo wanasema married couple wanatumia less takeaways than before, hii ina maana wanajipikilisha. and with that inaeza kuwa ni fursa nzuri ya ku-balance mlo kwa ku-control unachopika. Kwa upande, nadhani suala linaeza kuwa ni mazoezi na ile hali ya 'kuridhika' ukiwa kwenye ndoa.

ndugu hii avata yako nilikuwa naiona kupitia simu, pale haichezi haichezi. mbona una mawazo fulani hivi? michango yako ni tofauti lakini
 
Back
Top Bottom