Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,284
- 4,858
1• Mzuri kupitiliza / Mjivuni.
Wana jeuri na Tambo za kuwa na options zilizopo active Muda wote yaani ukimdipu ( bipu ) unapigiwa.
Hawa viburi mno haijalishi kabila Wala Status ya familia.
2• Mwanamke wa Kidigitali.
Wapo bize Kama Moderator.
Hawa ni Social Media Prime Ministers na Online Guruz
Akihama Twitter yupo WeChat akitoka huko Yuko Wasap Ani ni bize km kachero
3• Mwanaharakati
Yeye Muda wote anawaza mapinduzi na mageuzi.
Hawa kwa kuharibu na kutibua ndoa za watu hawajambo ila zao Chali kitaaambo
4• Msomi Nguli
Huyu haambili kitu huwezi muambia kitu akiamini elimu aliyonayo hastahili kutii ulichomuomba
5• Mfia dini
Hawa kutwa kusali na kusikiliza maono ya Nabii uchwara kuliko Mume na Hawa huwaambii kitu.
Akipewa maelekezo kuwa redio ndio chanzo Cha sisimizi kupanda vitandani nenda kauze Hana la kuhoji redio imeenda.
6• Mama Shughuli
Club banger
Huyu hakauki kila Sheree yumo, kitu pekee anakiweza kununua mikoba Kama sio kukopa na manguo.
7• Kiredio
Hawa huwa hawavumiliki
Wanakera haswa.
Maneno machafu busara sifuri Jambo dogo inafunguliwa risala
8• Mwenye Wivu na Uchungu
Huyu anefuzu uchawi kabisa kwa Sifa hizi
9• Wakishua
Wengi watoto wa Baba is Mama
Yani huwezi watenganisha na wazazi wao.
Jambo la wawili nyinyi hitimisho hutoka ukweni.
Ongezea Ongezea chochote kitu.