The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Una kitu..π€Ndoa ni maisha ya Mwanaume na Mwanamke walioamua kua na mapenzi yanayotambuliwa na Polisi na Mahakama,
Wapenzi hao huamua kuishi pamoja na kutatua matatizo yatakayotokea kwenye ndoa yao,matatizo ambayo yasingetokea kama wasingeoana.
Huwezi kukaa kwenye ndoa kama uko weak, we kataa tuhio statement yako
Happiness is a moment,Marriage is not for the weak! Au unasemaje babe min -me π
umeanzisha vita ya matusi nami ambayo naamini huiwezi. Badala ya kujibu hoja unatukana,hapo mpumbavu ni wewe ama mimi?
Unaposema weak unakua una maanisha nini?Huwezi kukaa kwenye ndoa kama uko weak, we kataa tu
Kweli, mtu mzima kuanza kuomba ruhusa kwa mwenzako ili ukafanye mambo yako inahitaji uwe umejitambua na kukomaa kiakili.hakuna uhuru.
Kuzalisha nje ya ndoa imekua jambo la kawaida sana. Sidhani kama kuna mtu humu ambaye hana baba mdogo mkubwa, mjomba, jirani etc. ambaye ana mtoto wa kando.kushikiwa mtoto asie wako.
Uaminifu imekua kipengele kwa wanandoa.kuletewa magonjwa ya zinaa..
Kuna jinsia ambayo imeshahalalisha kuchepuka, kwamba wao hawawezi kutosheka na mtu mmoja, eti wameumbwa hivyo.kuchapiwa/kugongewa pindi unapoyumba kiuchumu.
Mara nyingi ni kukosa utayari wa kutatua matatizo, kila mmoja kuona mwenzake ndiye mkosaji zaidi.Ugomvi kila siku hakuna maelewano ndani ya nyumba.
Dharau kibao.
π π π ni nzuri sna japo ni chunguNdoa ni maisha ya Mwanaume na Mwanamke walioamua kua na mapenzi yanayotambuliwa na Polisi na Mahakama,
Wapenzi hao huamua kuishi pamoja na kutatua matatizo yatakayotokea kwenye ndoa yao,matatizo ambayo yasingetokea kama wasingeoana.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu,,, Jana umetualika Leo una ndoa ya miaka 15mimi niko kwenye ndoa yapata miaka 15sasa,so naelewa ninachokiandika. Hamuwezi kuwa malaika kwamba daima msigombane.
Well said sirπ«‘Happiness is a moment,
Kuna muda utakua na furaha na kuna muda utakua na huzuni,
So,Marriage pia kuna muda itakua ni Prison kwako na kuna muda itakua ni heaven kwako,
There's nothing permanent in life except change.
Weak namlenga mtu yoyote! Kuwa weak maana yake unagive up easily, kuna common sort of things zikitokea wengine wanashindwa ndio maana mambo yanabadilika na watu wanaishia kwenye divorce tofauti na hapo wanaishi kwa kusikiliziana, kutegeana! Maisha ya ndoa kuchukuliana kunalazimika kwa maana mmejuana ukubwani, mmeshakomaa kila mmoja anakuja na tabia zake imani na malezi yake! Kama ww huna moyo wa uvumilivu una roho ndogo! Ndoani hutokaa, si-generalize sana maana people differ, people change!Unaposema weak unakua una maanisha nini?
So,to be strong ili ukae kwenye ndoa unatakiwa ufanye nini ili usionekane kua wewe ni weak?
Uwe simp? uvumilie mabaya yote na magumu yote ili usionekane weak? na hiyo weak umemlenga Mume au Mke?
Bittersweet π¬π π π ni nzuri sna japo ni chungu
Hapa point kubwa niliyoipata una maanisha kua,Weak namlenga mtu yoyote! Kuwa weak maana yake unagive up easily, kuna common sort of things zikitokea wengine wanashindwa ndio maana mambo yanabadilika na watu wanaishia kwenye divorce tofauti na hapo wanaishi kwa kusikiliziana, kutegeana! Maisha ya ndoa kuchukuliana kunalazimika kwa maana mmejuana ukubwani, mmeshakomaa kila mmoja anakuja na tabia zake imani na malezi yake! Kama ww huna moyo wa uvumilivu una roho ndogo! Ndoani hutokaa, si-generalize sana maana people differ, people change!
Serikali inapenda uoe ili uwe rahisi kutabirika
Utamu wa pilipili ni kuwasha kwakeBittersweet π¬
Ndio..Hapa point kubwa niliyoipata una maanisha kua,
nikukubali kuishi na kuyavumilia mateso ya kwenye ndoa ili usiwe weak.