The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
JF VAR CHECK.Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu,,, Jana umetualika Leo una ndoa ya miaka 15
Wana JF, Tarehe 14.02.2026 ni siku ambayo naenda kufunga ndoa, karibuni tusherehekee
Naishi kahama mjini nyakato mwisho pale wanapopaki bajaji,ukifika maeneo hayo utakuta kuna sherehe na ninayeoa ni mimi,ukijitambulisha tu kuwa wewe ni mwana JF, utapewa hadhi ya VIP. Karibuni sana ndugu zangu wana Kahama na maeneo jirani .