Married But Available itanimaliza ,ushauri wenu wadau....

Married But Available itanimaliza ,ushauri wenu wadau....

Inatia uchungu sana kugongewa aisee... lakini nafikiria kama nikiacha kuchoronga huku bado mke wangu anaweza kuwa anachorongwa na wanaume wa Dar....kwa hiyo huwa inabidi niendelee kumgonga kwa hasira tu
Mzinzi hana wivu ..... Kaza roho mganga Mungu.
 
Kuna sehemu nilisoma kuwa hata hawa hadi anaongea na nyoka alikuwa ameenda umbali Fulani na kumuacha Adamu ndio nyoka akatumia hiyo nafasi. Hivyo umbali na wenzetu ni hatari kwetu sote. Tusidanganyane eti kuna mtu mwaminifu kwa haya mambo. Mtu yeyote anaweza kuingia mkenge
 
Dah...haya mambo ya kuhamishiwa mkoani Dom huku familia zetu tumeziacha Dar , yana changamoto sana...yaani hii kauli ya 'ofcourse I am married but some how available' nimeshakutana nayo zaidi ya mara tatu tangu nihamie Dodoma ni toka kwa akina mama/wanawake wenye ndoa zao lakini wamehamishiwa Dom na kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu wengi , wenzetu tumewaacha kule Dar....Sasa hasa tukiwa kwenye maeneo ya burudani tukishaweka mambo kichwani basi ishu hii inaonekana ya kawaida sana,...sasa nimenasa kwa huyu mama mmoja lakini naona tunakoelekea kubaya manake ameanza kujisahau..mwanzoni tulikuwa tunafanya siri sasa huwa anaaniita kwenye maeneo ya wazi wala hajali kihivyo sasa hata live dansi tunaselebuka wote jukwaani ,nikiamka asubuhi pombe zimeisha kichwani huwa najuta kila mara..lakini kesho yake moto ni ule ule.. ..na nimegundua hiyo kampani yake nao ni walewale wote wanaibiana...Sasa tumefikia hatua ya kuongozana kwenye gari yake au yangu tukiwa tunakwenda kuziona familia zetu kule Dar pamoja na kurudi Dom,...na mara nyingi huwa anaongea na mmewe kwa mahaba ya dhati wakati tukiwa faragha nk......Huyu mke wa mtu (ana watoto watatu) nashindwa kumchomoka kwa sababu kuna mambo yangu flani anayashughulikia na yeye ni bosi kule aliko kwa hiyo nakuwa mpole kwa sasa....sasa nina kibarua cha kumfanya awe na furaha hasa baada ya kazi, nahisi nimekuwa mtumwa ila mahaba yake si haba kwa kweli...Hii inanifikirisha zaidi kuwa hata wife naye kule Dar naye huenda akawa hivihivi ...Naombeni ushauri wadau kama nichomoke au niendelee kuwa mpole kwanza?
We mtafune tu
 
Back
Top Bottom