Married couples friends!

Married couples friends!

Sijaolewa ila naexperience yakuishi na mtu .
Kuolewa ni kitu chema na ukishaolewa unabadilika naunakuwa na majukumu na upo busy masaa yote .
Kabla hujapata mtoto unamume wakumtunza na kumuhudumia naunaenda home mapema kabla yake kumuandalia chakula na kuweka nyumba safi wewe nawe uwe msafi .
Kingine mume wako unatakiwa kumuona special nakumjali.
Lazima kila siku uwe kwa ajili yake.
Ila mwanaume naye pia lazima awe tayari kuhudumiwa ,kushukuru , kupenda nakujali nakuwa tayari kuitwa baba /mume na mpenzi sasa anatakiwa naye ashiriki katika kufanya usafi , kupika na kuwa tayari kwa usaidizi wowote wa nyumbani sio kujibweteka tu nakusubiria tu mwanamke amfanyie kila kitu .

Kwanini mwanamke anarudi kuwa single ni ushirikiano hakuna mwanaume haoni au hajajianda kuwa mume anarudi usiku muda wakula umepita na juhudi ya mwanamke wake inapotea mtu anafanya siku kadhaa anaona ajichanganye na masingle ladies kunirusha arudi muda mume wake karudi so wanarudi wote .

Kila akiboreka inambidi afanye hivyoo ili asiboreke .
Maisha ya ndoa nikujitoa sio kuishi nje ilimradi uwe na pete mkononi hapa ni matendo nimeoa au nimeolewa haupo tena single unaenda kwa mwenzi wako kama hukuwa tayari usingeoa .

Kuna wanawake ni wakubwa 38 au 40 ila bado hawaoni kuwa wameolewa watulie home hapana wanazurura zurura kama matahira hawatulii.

Hata wanaume wengine wakioa wapo hivyoo hawapo serious na ndoa wanashinda bar na huku kaacha mke home good day

Ni sawa kabisa ulivyoandika na ndio maana Ndoa ni wazo la Kidini kama hakuna Dini hakuna Ndoa, na hivyo basi kabla ya kuamua kuingia kwenye Ndoa na mtu ni lazima ujiridhishe kama mnaendana angalau nasema 85% hiyo iliyobakia inajadilika lkn kama tofauti ni kubwa sana, ni ngumu kutoboa!
 
Ukiolewa inabidi utofautishe kuolewa na kutokuolewa
Tofauti iwepo lakini sasa sio basi ndio u akuwa mama wa nyumbani unajinenepea hovyo vile vitu u used to do ukiwa single ndio vyote kwishney. Hapana bwana hivyo ndivho unavyokiwa boring wife.

Yote hiyo ni wivu wakijinga tuu hamnaga mbususu yako peke yako wacha wife ajirushe within limits. Suku moja moja muache aende yeye wewe mume tulia ndani na watoto au wee unatoka na watoto wife anaenda kujirusha na marafiki zake
 
Inaelekea umekata tamaa na kupoteza matumaini kabisa na Ndoa!
Hamna mzee ni kuwa realistic tuu. Mke umeoa breki pumbuz alafu kanuni ya kwanza ya muumba ni kwamba wanandoa wawe hawajawahi kugegeda au kugegedwa. Hivyo ndoa yenyewe mnayofunga tayari batili maana nyie wote tayari sifa kuu ya kuwa mme na mke hamna from the start.
Haya mambo wala hatahitaji akili mingi....its just so obvious
 
Lakini siyo lazima iwe hivyo ingawaje ni kweli kwa kiasi fulani unavyosema lkn siku zote kuna exceptions, kama bado haujaingia usikate tamaa kwa kuwa tu watu wanasema hivi na vile!
 
Lakini siyo lazima iwe hivyo ingawaje ni kweli kwa kiasi fulani unavyosema lkn siku zote kuna exceptions, kama bado haujaingia usikate tamaa kwa kuwa tu watu wanasema hivi na vile!
Suala la kuingia kwenye ndoa na kutegemea ukamilifu toka kwa mwenza wangu kwenye suala la kugegedwa hilo siwezi kubaliana nalo maana ni uwongo. Bora niingie nikijua atagegedwa basi.
Pili watu hatufanyi maamuzi kwa kuangalia exceptions, tunaangalia wat is common. Tungekuwa tunaangalia exceptions tusinge jihangaisha kutengeneza condom maana wapo watu hawagegedi wala kugegedwa, those r exceptions but majority tunazgegeduana na partners tofauti tofauti.
 
Mhm hiyi nikumbana siku akugeukia akwambia na mume viwanja aende na mkeo....tuoeane uhuru wenye mipaka. Huyu mtu umemkuta alikuwa na marafiki so girls nyt out zitatokea once in a while mwacha aende tuu as long as anaaga na mme anajua.

Shida yote hii ni wivu tuu wa kijinga kwamba mke atatombwer 🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo mbususu yenyewe umekuta breki pumbuz sasa wivu wa kijinga wa nini. Afterall njemba ikitomber habandui mbususu akaondoka nayo🤣🤣🤣🤣🤣
Hili ndio jambo huwa naliongelea kila siku

Yaani mimi mke wangu hata atombwe vipi acha wapige tu. Maana kama ni mbususu nimeikuta used

Kama ametoka out kuna njemba imesuuza rungu mbona kiroho safi tu. Akirudi na mimi nachukua naweka waaaah!!

Mimi mwenyewe ni kiwembe nina michepuko kama yote sasa shida iko wapi
 
Bwana wee ...mie mwenyewe nagegeda mbususu huko za wake za watu so y nikasirike wakimgeggeda wife🤣🤣🤣🤣🤣
 
Suala la kuingia kwenye ndoa na kutegemea ukamilifu toka kwa mwenza wangu kwenye suala la kugegedwa hilo siwezi kubaliana nalo maana ni uwongo. Bora niingie nikijua atagegedwa basi.
Pili watu hatufanyi maamuzi kwa kuangalia exceptions, tunaangalia wat is common. Tungekuwa tunaangalia exceptions tusinge jihangaisha kutengeneza condom maana wapo watu hawagegedi wala kugegedwa, those r exceptions but majority tunazgegeduana na partners tofauti tofauti.

Ndiyo posti yangu ya kwanza kwako nilisema kwamba inaelekea umekata tamaa na taasisi ya Ndoa, naheshimu maoni yako hata hivyo, binafsi naamini katika Taasisi ya ndoa na sijakata tamaa nayo kwanza ni kinyume chake, cycle yangu ni watu wenye ndoa na wanafuraha ya maisha wana familia nzuri na kadhalika …
 
Bwana wee ...mie mwenyewe nagegeda mbususu huko za wake za watu so y nikasirike wakimgeggeda wife🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi sitakagi unafiki kabisa katika hili

Kuna mwanangu mmoja nilimkula mke wake wa ndoa.

Mshikaji ana philosophy kama yetu mzabzab siku moja akaniambia anajua kinachoendelea kati yangu na mke wake. Nilishtuka kidogo siku hiyo

Jamaa akanituliza usishtuke akaniruhusu niendelee kumla tu mke wake. Basi yule mwanamke anajua namla kisiri hadi leo🤣🤣🤣

Mchizi akaniambia "unajua nini mimi mwenyewe ni hodari wa kula wake za watu sasa wife akiliwa hiyo ni kama karma"

Nikasema dunia ingepata watu kama hawa tungekuwa tunashare utamu tu kiroho safi
 
Mimi sitakagi unafiki kabisa katika hili

Kuna mwanangu mmoja nilimkula mke wake wa ndoa.

Mshikaji ana philosophy kama yetu mzabzab akaniambia anajua kinachoendelea kati yangu na mke wake. Nilishtuka kidogo

Jamaa akanituliza usishtuke akaniruhusu niendelee kumla tu mke wake. Basi yule mwanamke anajua namla kisiri hadi leo🤣🤣🤣

Mchizi akaniambia "unajua nini mimi mwenyewe ni hodari wa kula wake za watu sasa wife akiliwa hiyo ni kama karma"

Nikasema dunia ingepata watu kama hawa tungekuwa tunashare utamu tu kiroho safi
Asie umepata bonge la rafiki. Wanaume wanaleta ujinga tuu kuwa na wivu wakutombewer wake zao...tungeondoa huo ujinga tungekuwa tunaenjoy life vizuri kabisa
 
kikubwa ni kujitmbua;kwamba nikishaoa kuna vitu natakiwa kuachana navyo
 
Asie umepata bonge la rafiki. Wanaume wanaleta ujinga tuu kuwa na wivu wakutombewer wake zao...tungeondoa huo ujinga tungekuwa tunaenjoy life vizuri kabisa
Jamaa ni mwanangu mpaka leo na halalamiki wala nini

Na hizi mambo za kuuana kisa wivu wa kimapenzi sijui kurogana kisa mapenzi zisingekuwepo life ingekuwa good sana

Ingekuwa ni mwendo wa kushare nyuchi tu
 
Asie umepata bonge la rafiki. Wanaume wanaleta ujinga tuu kuwa na wivu wakutombewer wake zao...tungeondoa huo ujinga tungekuwa tunaenjoy life vizuri kabisa
huyo hampendi mke wake amemuweka ndani ilimradi tuu
 
Back
Top Bottom