find your own way cant help you on that,
Mimi ni mwanaume niliyeoa, ninatamani pia kupata mke wa mtu mwingine, vipi unaweza kuni-PM namba ya wife wako? Maana unaonekana umemchoka though unadmit kuwa she is very smart and idealistic.
Niko kwenye PM.
Uzinzi tu hapa hakuna kingine
Nashukuru sana kwa waliotoa maoni yao
aidha naishukuru JF kwa kufanikisha azma yangu,
so far nimepata 'friends' wakutosha kama nilivyokusudia
naomba niifunge hii thread rasmi kabla wife hajajibu request yangu.
many thanks to all and lets pray for OBAMA