Marrying a chagga


Ni kweli wachaga wanajali sana mahali mtoto wao anao/olewa. Ilikuwa inasaidia sana, walikuwa wanachunguza mambo yote kama uchawi, magonjwa ya kurithi, uvivu, wizi, you name all. Ndiyo maana walikuwa wana discourage kuoa/olewa mbali kwani watakuwa hawana uwezo wa kuchunguza familia zile, at lest walikuwa wanachunguza hadi kizazi cha nne. Leo hii wachaga nao wanakutana mijini na wanaoana bila hata kufahamiana vizuri, hata yale maadili ya kichaga ya ndoa yanapotea na ndiyo maana na ndoa zao zinakuwa na misukosuko/talaka ambazo awali zilikuwa ni rate ndogo sana. Ilikuwa kuvunja au kushindwa ndoa ni aibu sana!!
 
Ndo maana nimekataa dISCUSSION ZINAZOHUSU UCHAGA HUMU!...These guys are too many inhere , and their reaction gets violent!Hv hakuna issues za makabila yetu ya huku Mwandiga!
 
i can smell personal interest in this comment!
na kweli acha niondoke kwenye hii nyuzi, maana nguzo zote za jf kwa namna moja au nyingi zinaukaribu na hili kabila alwatani.
 
Ndo maana nimekataa dISCUSSION ZINAZOHUSU UCHAGA HUMU!...These guys are too many inhere , and their reaction gets violent!Hv hakuna issues za makabila yetu ya huku Mwandiga!

bora mi sijasema heheeee
 
Vivian na wengine kama wewe. Inaonyesha kuna ukweli ndani ya hili suala. Ninauhakika kama ingekuwa utani basi kusingekuwa na jazba.

JIFUNZENI. MAMBO YA KIZAMANI HAYO
 
wachagga mizozo mwanzo mwisho.
mke wangu anatokea Narumu ..mbona kazi ninayo??
anamwaga mboga yeye na ugali anamwaga yeye...
na kipondo napokea
na ujanja wako wooooote??
pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…