Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,199
Mbona wachaga tu kila siku?
They are too alogant. They feel like the whole world belong to them. Siunaona wanavyojihami? Na watasemwa kwelikweli!! Bado Wahaya watafuata. Wao swali moja, majibu 2000.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wachaga tu kila siku?
They are too alogant. They feel like the whole world belong to them. Siunaona wanavyojihami? Na watasemwa kwelikweli!! Bado Wahaya watafuata. Wao swali moja, majibu 2000.
huu ni utanii tuu... lakini wa kiukweli kweli vile!!!
Tutake tusitake kuna ka ukweli fulani humo.Kuna jamaa yangu kyasaka alijitambulisha kwa family ya kichaga...my God aliulizwa ana nini katika kujiendeshea maisha yake,maskini hakuwa na kitu basi gf alielekezwa na parents zake ampige chini na ndo ukawa mwisho wa mchezo.
Hii habari ni UTANI lakini deep inside ina ukweli kwa asilimia 95.
yamekuwa hayo...mambo ya Mbwa...o je?Hii nungwa imetokea wapi humu? Stupid!!!
mnhhhhh...na wewe naona huna tofauti saaaana na hao wanaowajadili wachga...issue sio ajadiliwe mpemba au mkurya au msukuma...ishu iwe TUSIJADILI MAKABILA NA UKABILA...na mbaya zaidi ku-generalize vijitabia vibovu vya watu wachache wa kabila fulani kuwa ndio tabia za watu hao...NI MAONI TUUUKuna watu wana chuki binafsi humu jamvini kwanini mnawaandama sana wachagga ni kwa sababu they are better off kimaisha kidogo??? wachagga wachaaga wachagga mnalipenda hilo kabila ndo maana mwalisema sana. mara kwenye mapenzi mara kwenye maisha ya kawaida why dont we jadili other kabilaz than wachagga kwa nini msiseme wakurya au wahaya au wapemba au wazaramo eeee??
Nawasilisha
mnhhhhh...na wewe naona huna tofauti saaaana na hao wanaowajadili wachga...issue sio ajadiliwe mpemba au mkurya au msukuma...ishu iwe TUSIJADILI MAKABILA NA UKABILA...na mbaya zaidi ku-generalize vijitabia vibovu vya watu wachache wa kabila fulani kuwa ndio tabia za watu hao...NI MAONI TUUU