Tutake tusitake kuna ka ukweli fulani humo.Kuna jamaa yangu kyasaka alijitambulisha kwa family ya kichaga...my God aliulizwa ana nini katika kujiendeshea maisha yake,maskini hakuwa na kitu basi gf alielekezwa na parents zake ampige chini na ndo ukawa mwisho wa mchezo.
Hii habari ni UTANI lakini deep inside ina ukweli kwa asilimia 95.
sasa kama mtu hana kitu katika kujiendeshea maisha yake anataka kuoa ili nini? auzidishe umasikini na kuongeza ombaomba????
Mashemeji zangu nawapenda sana kama sio nguvu zao wachanga uchumi wetu sijui ungekuwa wapi? na kama watu wote wangekuwa aggresive kwenye kutafuta hela kama wachaga means tusingekuwa na umasikini tulionao tanzania.
kama watanzania wangewashauri watoto wao kwenye masuala ya ndoa kama wachaga means Vijana ingebidi wafanye kazi kwa bidii ili wapate maendeleo kabla ya kuoa na wala sio wakae watafute watoto wa wenyenazo ili wafaidi vya wakwe...........
Imagine kama kungekuwa na desturi kaabla mtu haujaoa lazima uwe umejipanga katika maisha na uwezo wa kulea familia si ungekuta tuko mbali na ombaomba wasingekuwepo????
Mlinganishe mama Anna mkapa na Chenge.
Mchaga akipata hela lazima ajenge kwao, ndo maana mama Anna hela zote alikuwa anajenga nchi yake kwa ku invest hapahapa, alivyosikia Kiwira inauzwa akasema 'Babangu si afadhali tuichukue tu burebure ibaki hapa kwetu kuliko kuuzia VYa saaaaaaaaaaaaaaaakaaaa wazungu eti mbeeeeeeeeeee!
Mchaga kuuza kiamba ni laana sasa vyasaka wanauza mpaka makaburi shame!
sasa chenge yeye kitu cha kwanza anaiba hapa anakimbiza nje, na anaona sifa kusema By the way nina ma investment kibao huko ulaya bwana.. Mimi mwafrica mzungu bwana hata nguo zao zinanukia ulayaulaya tu....
Napenda kuwaomba shemeji zangu msiwasikilize vyasaka ni mbelekwa mbele Pesa kwanza mambo mengine baadae...