GE2025 Martha Karua: Kinachotokea nchini Tanzania si Uchaguzi bali ni kutawazwa kwa Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Kuna ujumbe hapa kutoka kwa Martha Karua kuhusu Uchaguzi unaofanyika leo Tanzania.

Martha anasema leo kinaachofanyika ni Coronation na si Uchaguzi bali ni Uchafuzi

"Kinachotokea kesho nchini Tanzania si uchaguzi bali ni kutawazwa. Rais Samia anajiwekea taji akitangaza kuwa yeye ndiye mshindi kwa sababu hana anayeshindana naye."

ruto must go, ulisha ona mafanikio yoyote? kelele nyingi bila ushindi wowote
 
Mtu yoyote mwenye akili timamu lazima alione hilo
 
Wakuu,

Kuna ujumbe hapa kutoka kwa Martha Karua kuhusu Uchaguzi unaofanyika leo Tanzania.

Martha anasema leo kinaachofanyika ni Coronation na si Uchaguzi bali ni Uchafuzi

"Kinachotokea kesho nchini Tanzania si uchaguzi bali ni kutawazwa. Rais Samia anajiwekea taji akitangaza kuwa yeye ndiye mshindi kwa sababu hana anayeshindana naye."

G4X8v6HXcAA12eB.jpeg
 
Chawa leo mko busy trying hard to defend the rotten old bitch.
Pole sana kwa kushindwa kwa maandamano yenu, itajulikana muda si mrefu rotten bitch ni nani; nyie au yeye. Halafu, hivi matusi yanamshushia nini yeye?!!! Mmeanza lini na matokeo hasi kwake ni nini??? Mfananishe yeye na mama'ako, rotten old bitch ni nani kati yao k mkubwa we?!!!
 
Wakuu,

Kuna ujumbe hapa kutoka kwa Martha Karua kuhusu Uchaguzi unaofanyika leo Tanzania.

Martha anasema leo kinaachofanyika ni Coronation na si Uchaguzi bali ni Uchafuzi

"Kinachotokea kesho nchini Tanzania si uchaguzi bali ni kutawazwa. Rais Samia anajiwekea taji akitangaza kuwa yeye ndiye mshindi kwa sababu hana anayeshindana naye."

Mshauri akuje TZ
 
Back
Top Bottom