Mwanasiasa na mwanaharakati nchini Kenya, Martha Karua amezungumzia kuhusiana na sheria ya Tanzania kuweka uhalali wa Maandamanohivyo kwa wananchi wanaopanga kuandamana wana haki, pia amesisitiza Serikali isiingilie maamuzi ya wananchi
Soma pia GE2025 - Martha Karua: Kinachotokea nchini Tanzania si Uchaguzi bali ni kutawazwa kwa Rais Samia
"sheria za tanzania zinawaruhu raia kufanya maandamano, na serikali haipaswi kuingilia. rais samia aache utawala wa mabavu na aheshimu sheria za nchi,"- Amesema Martha Karua.Soma pia GE2025 - Martha Karua: Kinachotokea nchini Tanzania si Uchaguzi bali ni kutawazwa kwa Rais Samia