Kwa haya majibu yako itakuwa una chura kubwa sana wewe, π π , Mi siangaliagi hizo pono zenu bana.ππππsi ugoogle jamaa, au Google yako ni kwa ajili ya pornographies
Mpunga WapunguaWaliwa
Halafu wewe Sky, ujue wewe ni mwanamke mtu mzima kabisa, nini kukomenti namna hiyo..Waliwa
NaziWali .
Duuu, sawa.Nyanda kapanda, beki hazikabi, kila timu pinzani ikishambulia gpli
[emoji23][emoji23][emoji1787]Sasa mbona umemalizia eti 'heluwaa heluwaa' , unamaanisha nini?
Anne wewe umeelewa hii heluwaa heluwaa!?
Huyu aliyeshika simu naomba pole imfikie popote alipo kwa kushika simu nzito
Miss you mpendwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππππnimecheka mpaka nimedondosha Note 20 Ultra yangu