Martin akiwa na celebrities/wanamitindo wenzie

Alitaka kupewa ubalozi kweli??? Nimeona siku hizi ameacha mapozi ya kike, namwona pia ni msomi flani hivi, anaenda mpaka UN headquarters
Wazungu ndo wanawapenda watu Kama hao.
Wazidi kuendeleza kampeni yao ya rainbow.
 
Michicha mwiba?
 
Yaani hapo Mwamba ni huyo dem apo kati,,Na anaezi kuwapiga chuma wote hao[emoji23]
 
Duh kwahiyo hata Martin....!?
Wa kwanza kulia jina lake lilienda kwenye vetting ya kuwa balozi hiki kipindi cha hangaya.
Wasamaria wema wakaokoa jahazi, maana ilikuwa aibu ya taifa
 
Wa kwanza kulia jina lake lilienda kwenye vetting ya kuwa balozi hiki kipindi cha hangaya.
Wasamaria wema wakaokoa jahazi, maana ilikuwa aibu ya taifa
Duh[emoji15]
 
Nakumbuka first day nakutana na hawa vijana wa rainbow. Ilikuwa club just imagine unaona mwamba anabambiwa daaaaah nlitetemeka tungi likakata nilishindwa kuendelea kuona lile jambo aise πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” vijana wenzetu wameumaliza mwendo walahi
 
Alitaka kupewa ubalozi kweli??? Nimeona siku hizi ameacha mapozi ya kike, namwona pia ni msomi flani hivi, anaenda mpaka UN headquarters
Anaenda kudanga bwana kampelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…