Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua Lipa aliua sana!
Ha ha umeona bora uwe mkweli [emoji3]Nimevamia mtumbwi wa wagiriki ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cha ajabu nimesoma kibishi bishi mpaka hapaaaa
Sasa ukitaka wawehuke piga hizi ngoma.leo ni j2 niko zangu nakula ngoa haahaa ni mizuka tuu hapa nyumbani kuna watu washaanza kuvutika na huu mziki hapa mitaa ya home.
ngija nichukue ambazo sina hapo.Sasa ukitaka wawehuke piga hizi ngoma.
Animals
Sandstorm
Safri duo
Titanium
Levels
Play hard
Better off alone
This is what it feels like
Bad
Tremor
Sky full of stars
Wake me up
Don't you worry child
Kwa Melody yupo vizuri sema tangu nimemjua sijawahi ona akiingia top ten lakini Kule Bata la Asia anakubalika mbaya kabisaNadhani Alan walker ndo goat wangu, hata namna Zina mbeba sana.
Kama ni hit anazo nyingin mno👉
01, faded, impossible, diamond heart, lily,
02, alone 1, alone 2, spectre, sing me to sleep.
03, away, dark side
kabisa man na huwa jmos nikipata muda natrot basi naweka earphone zangu na mdundo mkali wa hizi nyimbo nakimbia mpaka watu wanishangaaHizo ni hatari kwa afya mkuu
Zina mzuka mi nikiwekaga earphones halafu unasikia "don't you worry child see heaven is got plan for you" halafu inasindikizwa na bonge la biti hiyo bike naipeleka Kama mtu aliyeagakabisa man na huwa jmos nikipata muda natrot basi naweka earphone zangu na mdundo mkali wa hizi nyimbo nakimbia mpaka watu wanishangaa
ni balaa na nusu yaani 2010 mpaka 2013 ndio kipindi nyimbo za edm ziliteka sana soko mpaka sasa zimebadilisha mziki kwa unga mpana.Zina mzuka mi nikiwekaga earphones halafu unasikia "don't you worry child see heaven is got plan for you" halafu inasindikizwa na bonge la biti hiyo bike naipeleka Kama mtu aliyeaga
Bebe rexha ni underrated kama Ava Max tu...
Hiyo Sky full of stars vimepigwa vyombo mle hatari..hiyo inabaki kuwa kazi bora kabisa ya ColdplaySasa ukitaka wawehuke piga hizi ngoma.
Animals
Sandstorm
Safri duo
Titanium
Levels
Play hard
Better off alone
This is what it feels like
Bad
Tremor
Sky full of stars
Wake me up
Don't you worry child
No broken heartBebe rexha ni underrated kama Ava Max tu...
Sana mimi kitambo namsikiliza, hapo ongezea I got you, Knees na Call you mineNo broken heart
Meant to be
I'm a mess
The way I are
Kila ngoma hapo ni kali
Huyo manzi anajua sana
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Alan walker alinifanya niupende huu mziki ilifika Time furani nikawa na playlist ya Ngoma zake tu earphones muda wote but now anatuangusha