Martin Garrix anavyowaburuza kina Alan Walker na ma DJ wa EDM

Mkuu hiyo ni ya 2023 hembu cheki 2022 ,2018 to 2016 uje na feedback mwamba hajawahi toka top 3 Ila David Guetta ashashuka Sana tu
Mbona ashatoka zaidi ya mara moja 2019 top walikuwa ni Dimitri Vegas na like mike hata 2020 alikuwa mdutch armin van buuren 22 na 23 na yenyewe sidhani kama alikuwa namba moja.

Ila 2016 chainsmokers walifanya poa sana ngoma kama closer, Don't let me down, sick boy zilikuwa za kibabe
 
Namkubali sana Jonas blue ngoma kama Rise,Mama, Fast carπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
William Singe aliua sana hiyo Mama, Fast Car dah around 2015 ilikuwa ngoma yangu pendwa, majuzi tu hapa ndo nimejua kumbe walisample πŸ˜€

Ana nyingine na Jp Coopers "Perfect strangers" ni πŸ”₯πŸ”₯
 
22 alikuwa top kaangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…