Martin Kadinda amkana peupeee Jack Cliff

Martin Kadinda amkana peupeee Jack Cliff

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,951
MARTINI KADINDA AUKANA UJUMBE UNAODAIWA ALITUMIWA NA JACK CLIFF BAADA YA KUKAMATWA NA MADAWA SOMA ALICHOKISEMA

Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda anayedaiwa kuwa meneja wa zamani wa Jackie Cliff amesema hajapokea ujumbe wowote kutoka kwa mwanadada huyo anayeshikiliwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya huko Macao, China alipokuwa akitokea nchini Thailand.

wazee wa kuunganisha dots mpooo?
 
Ata ningekuwa mimi ningekana. Akikubali naye atakuwa kwenye uchunguzi na atakuwa anafatiliwa bila kujua pia angeojiwa na polis wa Tanzania na China.

Ata mtume wa yesu petro alimkana Yesu ili asipatwe na matatizo kama hayo
 
Awa washamba safari yao imewadia...wako kwenye uangalizi maalumu
 
heeee ule ujumbe si wasiku nyingi sana??????
Kama mwaka jana jana au mwaka huu mwanzoni.
Nayeye ndo aliurusha hewani.
Mabwaku
 
2.jpg

"Ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwa mjinga utaachwa unashangaa kumuona Martin Kadinda U-smart anautinga majumba mandinga ya bwana almasi,je hizi tracks za harakati ni ujinga? Hapana nguvu ya mamba ni maji na umaarufu au kutamba kushika namba ni Bahati"
 
haters mpooooo? wivu mwenzenu anaongozana na walimbwende tu kudadadeki
 
Back
Top Bottom