Martin Kadinda awaaumbua Team Wema

nilitegemea utamjibu kantaangazee ...kweli umemstai sana mchiz

kanistahi kweli maana huwa wana maneno ya shombo kuzidi hata wanawake wenyewe....warumi atakuwa shoga minoma
 
Ulijuaje Nina izo tabia kama na wewe hauna?? , halafu nakushangaa sana , kinachokuleta humu kama wewe hupendi umbea kitu gani ?? Uo ni unafk, na inawezekana tabia ulizizitaj wewe ndo unazo

Mwanaume wa kweli hawezi kuwa na majibu kama haya..labda wale wanaume wanaotumia dume tu ndio hujibu ki dizaini hii
 
taratibu basi martin kadinda...

Watu wengi sana wananifahamu , nadhani hii ni moja ya jamii ya watu ninaowazungumzuia.

Ukifahamika na watu wengi ni kawaida sana kuongelewa tofauti tofauti, na Mimi siwez kurumbana na kila mtu ntachoka.

Hata wewe ukija kubahatika kufahamika kama Mimi humu utajionea mwenyewe, ata uwe great thinker kiasi gani , wanatukanwa akina pasco ambao topic zao zina mantiki sembuse Mimi tena kwenye jukwaa la udakum
 
Ona alivyokuwa mmbea , umekaa ki umbea mbea , sema inaonekana unanionea wivu kwa kuwa nimekuzid.

Binamu wapotezee, kukaa kimya ndo jibu la mjinga....!
Tuendelee kula ubuyu wa mjini kwa raha zetu hadi mate yawadondoke...

Nawadedicatia wimbo wa "Utaipenda" by Hussein Machozi.
 
Binamu wapotezee, kukaa kimya ndo jibu la mjinga....!
Tuendelee kula ubuyu wa mjini kwa raha zetu hadi mate yawadondoke...

Nawadedicatia wimbo wa "Utaipenda" by Hussein Machozi.

Mda mwingine napenda kujibu comment ya kila mtu , japokuwa sio zote zinazostahili kujibiwa. Nafanya hvyo kwa sababu zifuatazo

Kwanza ,na appreciate sana , kwani mtu kuacha shughuli zake au majukwaa mengine na kumfuata warumi na Ku comment kwenye thread zangu , ni jambo la kushukur sana.

Pili , najitahid sana Kuwa quote japokuwa sio comment zote zinastahili , ili tu niwaonyeshe kuwa comment zao (ziwe negative or positive) zimenifikia na Nina shukuru kwa uwepo wao humu , kwani ni wengi wanaoandika threads humu ila zangu ndo zinafanya vizur , so wao ndo wananifanya niwepo had Leo , nisipo wa quote wataona nawadharau halafu kesho hawatarud sasa huoni kama thread zitabuma na ma ubuyu yatakuwa hayanogi binamu?? Soo waache waongee wanavyojisikia

Ila siwezi kuacha ninachokifanya humu binamu , watu wengi sana wananikubali humu , kuliko hao wachache wanaoniponda
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume wa kweli hawezi kuwa na majibu kama haya..labda wale wanaume wanaotumia dume tu ndio hujibu ki dizaini hii

Ndio mara yangu ya kwanza kukuona humu nadhani , dah nafurah sana watu wanavyozid kunifuatilia siku had Siku , karibuni sana , wakaribisheni na wengine , warumi habagui mtu , wote mki comment ntawajibu.
 
Last edited by a moderator:
Huyu Kadinda angefanya kazi nyingine hii kama ina mdhalilisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…