kubwalamaadui
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 328
- 51
Wewe nae muongo wala hajawasema team Wema,shame on you
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilitegemea utamjibu kantaangazee ...kweli umemstai sana mchiz
Na imagine wale mashabiki maandazi waliohamia na huku kushabikia wanayoyaona huko insta na kuyaleta humu.
wanawasaidia kunichamba
naona kuna watu humu wanawasaidia kunichamba ,tena ni wanaume , halafu wanajifanya kuniponda ivi wana akili kweli au ndo nyani haoni kundule??
wanakuchamba kwa maji au na toilet pepa?
nilitegemea utamjibu kantaangazee ...kweli umemstai sana mchiz
Duh! Astaghafullulah,,maji yashamwagika weye.
Ulijuaje Nina izo tabia kama na wewe hauna?? , halafu nakushangaa sana , kinachokuleta humu kama wewe hupendi umbea kitu gani ?? Uo ni unafk, na inawezekana tabia ulizizitaj wewe ndo unazo
taratibu basi martin kadinda...
Ona alivyokuwa mmbea , umekaa ki umbea mbea , sema inaonekana unanionea wivu kwa kuwa nimekuzid.
Binamu wapotezee, kukaa kimya ndo jibu la mjinga....!
Tuendelee kula ubuyu wa mjini kwa raha zetu hadi mate yawadondoke...
Nawadedicatia wimbo wa "Utaipenda" by Hussein Machozi.
Mwanaume wa kweli hawezi kuwa na majibu kama haya..labda wale wanaume wanaotumia dume tu ndio hujibu ki dizaini hii
Duh! Astaghafullulah,,maji yashamwagika weye.
Mkuu weka ushahidi kama yeye alivyo fanya.Wewe nae muongo wala hajawasema team Wema,shame on you