Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Aaahah jamani swalamaaaa metoka pwani kule twala pweza namuulizia aunt bilal yupoooo ama karudi endlessf****
Aunt bilali karibu na shanga za kiunoni ulizotuagiza hizi hapa tunakupa bureee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaahah jamani swalamaaaa metoka pwani kule twala pweza namuulizia aunt bilal yupoooo ama karudi endlessf****
Yaan apa watasanda mbona , kama hawanipendi wakaombe kazi ya u mods wanipe BAN ya maisha , vinginevyo mi bado nipo sana humu binamu , nipo kwa ajili ya kuwapa ma utamu ya muji , najua na wenyew wanapenda umbea tatizo hawajikbal
kabisa tena. Wakuache miaka 8000000000 binam. Tupe raha back up ya kutosha ipo kwa watakao thubutu kukugusa
nilitegemea utamjibu kantaangazee ...kweli umemstai sana mchiz
Alaaaaa wakasuguee gagaaa kama hawana kaziii, utakuta hata kwao wanamendea ugali wa shikamoooo wamkomeee Warumi
Watu na nyotaa zenuu bana una nyota kama ya Wema watu mpaka wanakutamaniiii waseme tu wangekua hawana muda na wewe wasingekomment lakin unawakimbiza mbayaa binamuu tupe habari za mjinii sieee
Kajichambweeeeeee umepoaaaaa kama kitoto cha mbuziiiii nyolooo
Mmevamiwa leo humu
Warumi wapotezeee
Km wao sio wambea wamefuata nn humu?
Na wewe uache tabia ya kutongoza wanaume kwenye PM...
jinsi unavyoandika unaonyesha ulivyochanganyikiwa na maisha magumu na malezi mabovu....maisha yako magumu hasira kazimalizie ofisini kwako buguruni kwa kimboka uuze mpaka ibaki ndaza....wajuba kama sisi uwa atuchukui milupo michafu ya kienyeji kama wewe.

Matumbo unakera sana sijui huyo mwanaume mwenzako anakuvumiliaje, unamdomo mchafu sana hizo stress zako za maisha kamalizie kwingine siyo kwa warumi, unakiherere kama mkojo wa asubuhi
Kuachwa kubayaa sanaaaaa na mie nakuambiaa sishei mume na vidumee nimekuachiaaaa aiseee na warumi hawatakiii mridhikee na hao mlionao lol