Martin Kadinda awaaumbua Team Wema

We siyo type yangu...ishukuru JF atleast umeweza kushare maongezi na mimi. ..

Weeee ndio ushukuruu maanaa bila kuniquote hujisikii wala hulaliiiii na mume ukaniibiaaa khaaaa!!we nomaaaaaaaa nimekuachia dumee likuvunje vunjeee
 
Mkuu warumi usikatishwe tamaa na matusi unacho takiwa ni kutumia kile kitufe cha report abuse vizuri. Wewe na money stuna ni moja ya watu mnaofanya jukwaa hili lichangamke kwa habari.

Money stuna hana maneno ya kishambenga,Warumi usimind brother
 
Last edited by a moderator:
Money stuna hana maneno ya kishambenga,Warumi usimind brother

Maneno yangu ya kishambenga ndo yanawavutia nyie humu, then siwez kufanana n mtu yeyote humu warumi atabak kuwa yeye miaka miaaa
 
Last edited by a moderator:
mkuu warumi,we uwa unafanya kazi saa ngapi? na wewe ni jinsia gani?

KUSEMA ukweli HATA MIMI kuna siku niliuiza japo sikupata jibu eti ni mwanaume!...lakini sasa jamani mbona anasound kama sisi akina dada?au masikio yangu?
 
KUSEMA ukweli HATA MIMI kuna siku niliuiza japo sikupata jibu eti ni mwanaume!...lakini sasa jamani mbona anasound kama sisi akina dada?au masikio yangu?

Ukimfuatilia warumi ni sawa na Ku deal na robot, hakuna atakayeweza kunijua mm wala jinsia yangu , so I would kindly request to do what brings you here, mengine waachie baba na mama, karibu though
 
Last edited by a moderator:
KUSEMA ukweli HATA MIMI kuna siku niliuiza japo sikupata jibu eti ni mwanaume!...lakini sasa jamani mbona anasound kama sisi akina dada?au masikio yangu?

wewe jinsia ya mtu ya shda gani wewe coment and then sepa jinsia haikusaidii sana ebo
 
KUSEMA ukweli HATA MIMI kuna siku niliuiza japo sikupata jibu eti ni mwanaume!...lakini sasa jamani mbona anasound kama sisi akina dada?au masikio yangu?

Na we kumbe na mdada mi nilijua ni mkakaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…