MARTIN KADINDA,hivi kweli meneja ndo anatakiwa awe hivi kwa mteja wake.

warumi uyu ndio juzi ulikuwa unamsifia ni mtu smart....Nadhani unaanza kunielewa sasa.

Nimesoma mara mbili kama ni yeye kweli au lah, we muache asifie wenzie wanakamua ye anabaki kusifia au ndo anampigia promo? Kama umeneja ndo huu basi kazi ipo, apa anamnadi tu kwa wanaume hana lolote anatamani na yeye angekuwa kama lulu, kazi anayo
 
Last edited by a moderator:
hakikaa moto wa jehanamuu utatuchoma sanaa
 
mwenzenu anatafuta kuset trend na nyie mnashangaa tu. Si mmeona lulu kagoma?
 
well said .yaani kila Mtu hapo ni manager kwa Mwenzie.lulu anamtaftie Martina mabwana na Martina anamtaftia lulu.hiyo ni adverts.sijui Huyu Martina anavuta mambo gani haya ya kuandika mtandaoni.kudhalilisha tu watu huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…