Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
warumi uyu ndio juzi ulikuwa unamsifia ni mtu smart....Nadhani unaanza kunielewa sasa.
Dah heaven on earth cjui unazoom vipi hizi picha we mtaalamu
Mbona ni easier wangu......
Ntakutafuta nije kwako unifundishe kuzoom picha na mimi.
Unataka kufundiswhwa ku zoom picha TU????
Yeeer ila ata mafunzo mengine nitayapokea kwa moyo mmoja.
unakaribishwa then, this weekend kuanzia saa 11 Jioni
We mkali unanikumbusha long time ujanani nakariri kila nyimbo unayoijua dunia hii.
Jiandae kunishushia Vina ya nyimbo ulizokuwa ukikariri
well said .yaani kila Mtu hapo ni manager kwa Mwenzie.lulu anamtaftie Martina mabwana na Martina anamtaftia lulu.hiyo ni adverts.sijui Huyu Martina anavuta mambo gani haya ya kuandika mtandaoni.kudhalilisha tu watu huko.Biashara ya cyber sex imeshamiri sana hapa tanganyika, manager anatangaza biashara ya binti husika,
Nyie ambao hamna managers cyber sex mnaifanya wenyewe kwa profile pics zenu mlizovaa hovyo.
Binti huyo anauza nyama za usiku utadhani butcher za mchana.