Martin Kadinda,huyu jamaa yupo smart kwenye interview

hahaha siku nyingine uwe unaniita viol lols huu ubize nao unanikosesha mambo

Hahhaa kila siku alikuwa anaponda graduates yaliyomkuta anajua mwenyewe
 
umeona eeeh ingawa sio poa kuweka hadi picha yake

Walimbip,kuna member akawa anatumia avatar ya picha ya jamaa,was too much.
Mi nikiletwa huku aiseee sirudi
 
Hivi huwa najiuliza, kwa nini wabunifu wa mitindo wanaume wengi wana chembe chembe za ushoga? Au wengine ni mashoga kabisa wanaojulikana wazi, na hii ni duniani kote???!!!

Atleast Sheria ngowi, namwona walau yuko kigentleman
 
huyu jamaa anafanya issue gani ya kumuingizia ela kiasi icho? ni hii design tu ya nguo? alafu bado hajafunguka wakat boss lady jack cliff alishawai post kwa mitandao ya jamii kabla hajadakwa na unga uko china kwamba kwa lolote kumuhusu yeye akifa aulizwe martin kadinda?? labda huu ndio uwe mda muafaka tujue hilo lolote!!!
 
mnyonge mnyongeni ila haki. yake mpeni
mnaokoment vibaya dhidi yake mnamuumiza mwenyewe
mumdhaniavyo sivyo kabisa jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…