Cha ajabu we utakufa na utamuacha akiendeleza maskendo
Hivi hawa Mameneja kazi yao ni nini hasa?
Afadhali Fellah nimeanza kumuelewa baada ya ujio wa Yamoto band, lakini hawa kina babu Tale sijui Kadinda kwakweli mimi sijui kazi yao ni ipi hasa?
Ama kweli kupigika noma. Wema ndo ashamwagwa hivyo.
Ova
Na band kabisa tutaunda
Sasa ivi mpunga hana maswahiba wake wote wamemkimbia, hata aunty nae siku hizi hawapo karibu sana, upepo umehamia kwa kajala sasa ivi , kila mtu anataka kuwa karibu na kajal sio mama ubaya
Na ndio ajifunze kuwa marafiki watakupenda ukiwa nacho ukifulia wanakukimbia tatizo lake naye hasikiagi ushauri akiwa nazo anaona marafiki ni bora hata ushauri wa ndugu na mamayake huwa hasikilzi ona sasa matokeo yake sa ivi atakuwa na frustration
Team Wema.Wewe unamchukia wema sana.
Tutatoa na video ya nyimbo kumpa hongera kwa msiba huo
Alikukosea nini kikubwa mpaka umchukie kiasi hicho. Huyo ni binadamu mwenzi siyo busara kumtamkia nanma hiyo.Simpendiiii mno na siku akifa mi na warumi tutafanya sherehe upoooooo
Alikukosea nini kikubwa mpaka umchukie kiasi hicho. Huyo ni binadamu mwenzi siyo busara kumtamkia nanma hiyo.
Hivi hawa Mameneja kazi yao ni nini hasa?
Afadhali Fellah nimeanza kumuelewa baada ya ujio wa Yamoto band, lakini hawa kina babu Tale sijui Kadinda kwakweli mimi sijui kazi yao ni ipi hasa?