Martin Kadinda, manager "MPYA" wa Lulu Michael

Martin Kadinda, manager "MPYA" wa Lulu Michael

Cha ajabu we utakufa na utamuacha akiendeleza maskendo

Hhhhhaaaa na badooooo kila mtu atakufa kwani pua zetu zimeangalia chini,wema na huyo mdudu hapo juu mtaniacha mimi wataenda kuniwekea siti
 
Huyu Kadi..nda Juzi kati amepost pic insta ikionyesha kitovu chake aisee nilishaangaa sana! nikaja kusikia kumbe sio rizikiiii ni mshikishwa ukutaaaa!
 
Ama kweli kupigika noma. Wema ndo ashamwagwa hivyo.
Ova
 
Hivi hawa Mameneja kazi yao ni nini hasa?

Afadhali Fellah nimeanza kumuelewa baada ya ujio wa Yamoto band, lakini hawa kina babu Tale sijui Kadinda kwakweli mimi sijui kazi yao ni ipi hasa?

kwa wema alikuwa akimeneji shopping na
mitoko ya kwenye vigodoro kwa huyu sijui atameneji nini?
 
Ama kweli kupigika noma. Wema ndo ashamwagwa hivyo.
Ova

Sasa ivi mpunga hana maswahiba wake wote wamemkimbia, hata aunty nae siku hizi hawapo karibu sana, upepo umehamia kwa kajala sasa ivi , kila mtu anataka kuwa karibu na kajal sio mama ubaya
 
Sasa ivi mpunga hana maswahiba wake wote wamemkimbia, hata aunty nae siku hizi hawapo karibu sana, upepo umehamia kwa kajala sasa ivi , kila mtu anataka kuwa karibu na kajal sio mama ubaya

Na ndio ajifunze kuwa marafiki watakupenda ukiwa nacho ukifulia wanakukimbia tatizo lake naye hasikiagi ushauri akiwa nazo anaona marafiki ni bora hata ushauri wa ndugu na mamayake huwa hasikilzi ona sasa matokeo yake sa ivi atakuwa na frustration
 
Lulu anafanya nini hasa mpaka ahitaji meneja? Bongo movie na ue-mc unhitaji meneja? Martin ni punga aka Mshumaa!

Wanatafutiana wanaume wenye pesa, kutwa siku izi wapo wote, nilifumaniana nao pale posta princess casino wamegandana kama luba
 
Na ndio ajifunze kuwa marafiki watakupenda ukiwa nacho ukifulia wanakukimbia tatizo lake naye hasikiagi ushauri akiwa nazo anaona marafiki ni bora hata ushauri wa ndugu na mamayake huwa hasikilzi ona sasa matokeo yake sa ivi atakuwa na frustration

Si anajifanyaga ana nyota sijui mwezi mwache yamemkuta maskini nimeona juzi na yeye anataka kurudisha heshima kwa nguvu, alikuwa anajifanya pedeshee
 
warumi

Lulu ataanguka kama alivyoanguka wema. Kadinda anajua kumeneji masuala yahusuyo michepuko na si shughuli za kimaendeleo kwa mhusika. Tegemea kusikia Lulu akibadili mabwana kila kukicha. Hiyo ndio kazi ya huyu meneja.
 
Last edited by a moderator:
Nn kakosa wema paka achukiwe,huna sababu ya kumchukia mwenzako,hayo yote ni maisha tu iko siku yataisha
 
Alikukosea nini kikubwa mpaka umchukie kiasi hicho. Huyo ni binadamu mwenzi siyo busara kumtamkia nanma hiyo.

We nae huo ni utani bana ukichukulia kila kitu sirias utapotea
 
Hivi hawa Mameneja kazi yao ni nini hasa?

Afadhali Fellah nimeanza kumuelewa baada ya ujio wa Yamoto band, lakini hawa kina babu Tale sijui Kadinda kwakweli mimi sijui kazi yao ni ipi hasa?

Usimfananishe Tale na kadinda....Tale kibongobongo anajitahidi sana .
 
Amehamia kwa lulu ndo upepo unakovuma kwa sasa mabuzi wakikata kusupply atahamia sehemu nyingine maanake lulu ndo hot cake ya mujini kwa sasa.akisha fumuliwa alegee kama wema na kufulia utaona Martin anaanza kummanage mwingine.wema kaka manager kwishnei sasa.halafu nilimwona wema ananundu mgongoni anaificha nanywele sijui imeisha ile.
 
Back
Top Bottom