Ha watu mna mambo lol amazon college jitu zima kama rommy? Huyu Jamaa si alikuwa anafanya kazi clouds tv au kapigwa chini? Rommy ni DJ wa Domo na video model wa domo(mbagala) petit ni mario na mdananda,martin what more can I say bout him? Ulishawahi kumuona kadinda?
Huyo Romy Jones ni yatima, au??!!ofkoz umeongea kitu cha msingi sana..
diamond ampe ada huyo romy jones walau akasome the amazon college
Huyo Romy Jones ni yatima, au??!![/QUOTE kwani yatima pekee ndo wanalipiwa ada?
We unaonaje?kwani yatima pekee ndo wanalipiwa ada?
hehe..jamaa jina lake tu..eti..rommy jones...lazima atakua mission town
Jina lake halisi ni George bangula, halipendi sababu eti la kishaaamba so anatupia swagaaaaaa kwa kujiita rommy J
Kibaiskeli maana yake nini yailahi?Kadinda kibaiskeli watu wanakiendesha
Jina lake halisi ni George bangula, halipendi sababu eti la kishaaamba so anatupia swagaaaaaa kwa kujiita rommy J
Jina lake halisi ni George bangula, halipendi sababu eti la kishaaamba so anatupia swagaaaaaa kwa kujiita rommy J
Tena huyo rommy amshukur ndomo sana, maana alikuwa kashaanza kutatuliwa marinda uko nyuma
I'd co I'd dyu NBC ssh bc sh LLC st iv oh eg unamjua en ic si........
kwani ismail sotta keshaaacha kumla mfereji wa mbolea?
Si bora angemuita mtoto!! Ni ''toto"Mtu kama romy jones ange omba ada aende shule kama sio chuo.. manake kama mwanaume mwenzake hana kazi huyu zaidi yaku andika "wasafi classic baby for life " how sure are you it's for life? Hana kazi huyu jamaa zaidi yaku mjazia Diamond majukumu yaku mlisha naku mvalisha siku Diamond aki shuka kimziki ndio kwisha habari yake.. kwani kipindi watu hawa mjui Diamond nani alikua ana mjua huyu? Martin kadinda sasa na yeye ana dai eti wanaume wana mtamani alisha post mwenyewe insta hii kitu..sasa dume zima una post ujinga kama huu insta huna wazazi wewe vp wakiona eti wanaume wenzako wana kutamani? Petiman na yeye hana kazi endelea kula kwa madam wako.. na sharubu zote eti wema ana muita mtoto wangu.. na jamaa ana kenua ana ona byeee!
ofkoz umeongea kitu cha msingi sana..
diamond ampe ada huyo romy jones walau akasome the amazon college
Haha ajawahi dinda mkuu. Nimechek kwa sautiHa watu mna mambo lol amazon college jitu zima kama rommy? Huyu Jamaa si alikuwa anafanya kazi clouds tv au kapigwa chini? Rommy ni DJ wa Domo na video model wa domo(mbagala) petit ni mario na mdananda,martin what more can I say bout him? Ulishawahi kumuona kadinda?
Me toohahahahaaaaa i love jf.