[emoji38] [emoji38] [emoji38]Ni misukule ya Dai na wema upepo unapoenda ndipo wanapoelekeaaa
Jamaa kama kaandika kichina aelewekiivi we umeandika manini sasa?? Mpssss....!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnawapangia watu maisha wakati yenu yamewashinda ;miroho mibaya kama kinyesi
Hivi bado wako wote?Yaani wote hao huyu mmoja tu ndie kichefuchefu kwangu....petit man jamani simpendi huyu mtu balaa,muda wote kujibebisha tu huko insta na hivi ana date na bibi esma ndio kabisaaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Tena huyo rommy amshukur ndomo sana, maana alikuwa kashaanza kutatuliwa marinda uko nyuma
Martin Kadinda mbona povu sasa?Mnawapangia watu maisha wakati yenu yamewashinda ;miroho mibaya kama kinyesi
Mi hapana yukoje mkuiHa watu mna mambo lol amazon college jitu zima kama rommy? Huyu Jamaa si alikuwa anafanya kazi clouds tv au kapigwa chini? Rommy ni DJ wa Domo na video model wa domo(mbagala) petit ni mario na mdananda,martin what more can I say bout him? Ulishawahi kumuona kadinda?
Kwahiyo Izzo biashara anakula visamvu sana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]uyo bald man nae nasikia ni bingwa wa kubokoa wanaume wenzie