Martin Kadinda, Rommy Jones, Petit Man

Martin Kadinda, Rommy Jones, Petit Man

Hapa ilikuwa Wema ameanza kutanua na mbabu wake akijipanga kumbwaga Diamond.

Now majuto kwa kwenda mbele, bila kujua angekuwa nae bado na Diamond hasingekuwa alipo. Wangekuwa kwa majanga, mwanamke na nyota nyeusi
 
Mnawapangia watu maisha wakati yenu yamewashinda ;miroho mibaya kama kinyesi
 
Yaani wote hao huyu mmoja tu ndie kichefuchefu kwangu....petit man jamani simpendi huyu mtu balaa,muda wote kujibebisha tu huko insta na hivi ana date na bibi esma ndio kabisaaa
Hivi bado wako wote?
 
Diamond hawezi mtupa Rommy Jones-cause akiwa DJ clouds kambeba sana D. D akiwa underground Rommy kazipa sana songs za D airtime hatimaye zikamuibua. Success ya D is directly attributed to RJ kabla ya anybody else
 
Ha watu mna mambo lol amazon college jitu zima kama rommy? Huyu Jamaa si alikuwa anafanya kazi clouds tv au kapigwa chini? Rommy ni DJ wa Domo na video model wa domo(mbagala) petit ni mario na mdananda,martin what more can I say bout him? Ulishawahi kumuona kadinda?
Mi hapana yukoje mkui
 
Back
Top Bottom