Martin Kadinda: Wema Sepetu hajampeleka Diamond mahakamani kwa deni la milion 10

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya Habari nchini likiwemo Gazeti la Mtanzania kuwa amempeleka Diamond polisi kwa kile kinachosemwa ni kumtapeli shilingi milioni 10.
Martin ameiambia Bongo5 kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo.

"Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani," amesema Martin. "Kwa sababu taarifa ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori. "We don't have any issue with Diamond. Diamond hana issue yoyote na Wema," amesisitiza.

"Kwahiyo tunashangaa ni kama ambavyo wanazusha sijui kafumwa na nani ni uongo mtupu. Lakini nashangaa media ambazo zinaaminika zinaamua kuandika story bila kumpigia simu mhusika au meneja na kuuliza ukweli wa hiyo story."

Tupe maoni yako hapo chini.

Huyo Wema kutwa anaonga watu wenye akaunti feki za instagram watukane watu, so lazima yeye ndio kavujisha hii kujaribu kumuharibia Diamond.

Mwanamke kutwa unalipa hongo watu wamtukane ex wako mitandaoni ili achuje na pia wakushabikie ili uonekane una wafuasi wengiiiiiii sanaaaaaa, shame on her.
 
Hivi wewe binti unajuwa kusoma au ndio division 5?
 
Matola, kwani alichokisema mzurimie hakiwezekani? Assume mimi na wewe ni mastaa halafu tupo karibu! Ili kukuharibia, naamua kuvujisha habari za uongo kwamba may be umepiga mimba mwanafunzi! Kwavile media wanafahamu ukaribu wetu ama wa sasa au wa cku za nyuma, wananiamini na kuitoa hiyo habari lakini wakati mimi nimeshajiandaa kukanusha hapo baadae! Lakini hadi nakuja kukanusha, umma utakuwa tayari umefahamu nilichosema awali na si ajabu hata nikikanusha, wapo ambao wataendelea kuamini kauli ya mwanzo!
 
Last edited by a moderator:

Tukitaka kuwa wakweli wa nafsi zetu basi tusikalie ushabiki na uhukumu watu, Diamond ni victim na Wema ni victim mambo ya kuhisihisi hayana maana.

Tena kama sisi ni wakweli tulipaswa kuisifu manegement ya Wema kwa uungwana wa kukanusha haraka uvumi huo.
 
Ume-miss hoja yangu! Issue sio kwamba kuna ukweli au hakuna ukweli... ni kwamba, haya mambo ya kutengeza habari na kisha kukanusha kwa hawa watu si jambo la kuona haliwezekani! Miaka ya nyuma Dully Sykes alishawahi kutengeneza habari hivi hivi kwamba alitaka kulawitiwa... saa chache baadae akaenda radio kukanusha!
 
Hivi wewe binti unajuwa kusoma au ndio division 5?

Mbona div 5 umenisaidia mie hata la kwanza sikumaliza.... hutaki niandike yangu nayojisikia kuandika....sepa.

I guess weye kwa lile somo la celebs etc una A+++++ na div 1+++++. yaani kufaulu kwa 1000% as kwa 100% ungeonewa.
 
Back
Top Bottom