Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
wewe ni mgeni sana JF...Hivi ni Nini shida nikajua ni Mimi tu?
Matusi na Uchawi ndio nguzo kuu ya kapukuBoni yai anabonya sio?
Mange alituambia ni mchicha wali nazi
Mkuu huu mwaka wa8 mjomba sema Id tu. Kuna muda Huwa naona napotezea asa nilipoona mjumbe ndo nikajua kumbe ni wte😂😂wewe ni mgeni sana JF...
hio ni idadi ya watu wanaousoma uzi
zamani kidogo tajiri yetu, kyoma Maxence Melo alikuwa anawataja hadi majina..
baadae akafuta huo utaratibu
Vyama vya upinzani hawana kazi ya kuwahadithia Generation Z kuwa bunge la chama kimoja lilikuwaje kwa sababu tayari wameshajionea.Kwanza mpaka sasa hatuna bunge kunakusanyiko la majangili tupu humo ndani, aacha aingie huko atasaidia kwa kiasa chake
Hapana na sipo biased kwa ninachokisema kwa sababu Martin nimemfollow twitter kupata updates tu kwa baadhi ya vitu. Ila kwenye intellectual capacity au kusema nitavuna fresh ideas kutoka kwake huko kutakuwa ni kujidanganya.Hoja ijibiwe kwa hoja, kuna watu kwenye mitandao wako radhi wabishane na ukweli hata kwa kitu kilicho wazi na chenye ushahidi
Wanataka ubishani usio na maana yoyote ndio hao hukimbilia kusema hautaki kukosolewa kisa tu wamekosa hoja ya kukubana
Zitto kabwe hakuibuka kama whistleblower, aliibuka kama kizazi kipya chenye brains. Rejea tu issue ya madini pamoja na asilimia ya gawio tuliokuwa tunapata, alikuwa moja ya vijana waliolisimamia haswa kwa angle ya uchumi.Zitto ana hoja gani za msingi ambazo zitakumbukwa kwenye hili taifa?
Mimi sijawahi kumfollow ila post zake huwa naziona kuna vitu vingi nimeona vina mashiko kuhusu kutowajibika kwa viongozi na uonevu, rushwa n.k amekuwa akivisemaHapana na sipo biased kwa ninachokisema kwa sababu Martin nimemfollow twitter kupata updates tu kwa baadhi ya vitu. Ila kwenye intellectual capacity au kusema nitavuna fresh ideas kutoka kwake huko kutakuwa ni kujidanganya.
Ni observation yangu tu mkuu
Kwani wapi nimesema ni vibaya au wapi nimesema anachokifanya ni kibaya??...Utawezaje kutoa hoja zenye mashiko za kuibana serikali bila reference? Si utaonekana unabwabwaja tu
Nimtetee yeye kama nani?Kwani wapi nimesema ni vibaya au wapi nimesema anachokifanya ni kibaya??...
Tatizo unanisoma huku umejiweka katika angle ya kumtetea. Mimi siongei kumshusha Ila namuongelea Martin kwa angle ya "Brains" au "uongozi" Kama mada inavyojaribu kuegemea
Anafaa saaaaaana kuliko naniliiHuko mitaani kushaanza kuwaka moto wa mabango, mmoja yuko kwenye bodaboda, huku mwingine yuko kwenye Bajaj.
Jambo la kufurahisha ni tangazo la Waziri wa Tamisemi kwamba vyombo hivyo visiguswe na Polisi
View attachment 3034958
Nimeona Tulia amepiga picha nzuri kwa ajiri yake ,naye MMM kapiga picha kwa ajili ya Tulia ,Mwamba anaenda kupata pisi kali kama Mungu akipendaHuko mitaani kushaanza kuwaka moto wa mabango, mmoja yuko kwenye bodaboda, huku mwingine yuko kwenye Bajaj.
Jambo la kufurahisha ni tangazo la Waziri wa Tamisemi kwamba vyombo hivyo visiguswe na Polisi
View attachment 3034958
Kwani watu wanaomkubali Twitter, wanamkubali kwa sababu tu ni Martin kutoka Mara au kutokana na vitu anavyopost?..Nimtetee yeye kama nani?
Unapima uongozi wa mtu kwenye post za X?
NdiyoNimtetee yeye kama nani?
Unapima uongozi wa mtu kwenye post za X?
Angekuwa ni kiongozi hapo ndio tungempima uongozi wake. Kwa sasa hapana. Hata mafisadi tweet zao unaweza kusema viongozi bora kumbe bora viongoziKwani watu wanaomkubali Twitter, wanamkubali kwa sababu tu ni Martin kutoka Mara au kutokana na vitu anavyopost?..
Kwani posts anaandikiwa au anaziandika mwenyewe kutokana na uwezo wake, na vipi kuhusu reactions zake kwa watu. Nazo hizo ni mambo ya "X" au ni ufunguo wa kujua charisma, brains na emetional intelligence yake?..
Na vipi kuhusu viongozi ambao tunawaona kwenye TV, je nao tuwategeshee camera majumbani mwao ilhali kupitia interviews tu wanazofanya kuna kitu wanakiwasilisha.
Unachokionesha kwa watu ndicho kitakachotumika kukupima wewe ni mtu wa aina gani. Ndio maana watu wanaajiri brand strategists na publicists kwa kazi hiyo mkuu
MASESE 💯Masese na Mwigulu unachagua yupi?
Hahaha kijana wangu vp Ushatoka hapo Desderia jikoni?Matusi na Uchawi ndio nguzo kuu ya kapuku
Muoga huyo anawahi block watu