Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ana ubavu wa kugombea Uwenyekiti wa Chadema Taifa?Huyu mwamba yupo vizuri tangu kipindi cha JPM. Tunahitaji vijana wa kuhoji kama hawa
Bado kijana mdogo sanaAna ubavu wa kugombea Uwenyekiti wa Chadema Taifa?
Masikini wanawaza kula tu!Hahaha kijana wangu vp Ushatoka hapo Desderia jikoni?
Kila laheri kwake...Huko mitaani kushaanza kuwaka moto wa mabango, mmoja yuko kwenye bodaboda, huku mwingine yuko kwenye Bajaj.
Jambo la kufurahisha ni tangazo la Waziri wa Tamisemi kwamba vyombo hivyo visiguswe na Polisi
View attachment 3034958
Magoti alitekwa na Jiwe kwa lengo la kumalizwa, Mungu akagomaMoja ya watu ninaowaelewa huko X
yupo na Tito Magoti na Malisa hao watangaze nia, ni vichwa sana.!!
Kwel kabisa hata Mm kaniblock baada ya kumlambisha mchanga 😂Muoga huyo anawahi block watu
Magoti alitekwa na Jiwe kwa lengo la kumalizwa, Mungu akagoma