Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

Ameeleza Mengi! U7
Ameeleza Mengi ya kumsagia Hayati Magufuli kunguni,itachukua miaka 100 Tanzania kupata Rais bora kama Shujaa MAGUFULI niko chato kwenye kumbukizi ya huyu MWAMBA kuwahi kutokea kuiongoza Nchi kwà mafanikio Makubwa
 
Siku nikiwa rais wa nchi hii nitamfuta kwenye kumbukumbu za serikali asitambulike tena kama mtu aliyewahi kuhudumu kama rais wa nchi hii
 
Viongozi wa dini yangu ya RC, wasome mwanzo mwisho, wajikumbushe aliyofanya huyu jamaa. Hakuna la kutungwa hata moja. Hiki walichofanya Jana, ni kuhamasisha Viongozi wengine watende aliyoyatenda mwenda zake.
Naipenda dini yangu ya RC, lakini kwa kilichofanyika Jana, siungi mkono!
 
Nashangaa san hata viongozi wa dini wameingia katika mkumbo wa kusifia watawala aina ya Magufuli.

Siku hizi ni bora kusali nyumbani kwako au chini ya mti.
Vipi kuhusu mzee mbowe na genge lake kubatiza vijana wadogo kabisa UKAMANDA?
 
Mzee wa kuandika script za action movies na maigizo sio 🐒
 
Mambo hayo!
 

Attachments

  • 20240317_220208.jpg
    10.1 KB · Views: 8
Siku nikiwa rais wa nchi hii nitamfuta kwenye kumbukumbu za serikali asitambulike tena kama mtu aliyewahi kuhudumu kama rais wa nchi hii
Ni sawa kabisa. Rc wana utaratibu kama huo, kiongozi wao mkuu, papa , akishafariki wasomi wabobezi katika masuala ya dini hukaa na kumchambua kila neno na tendo na tabia yake. Wakigundua kuna mambo ya ovyo alifanya wanamfuta katika orodha ya mapapa- wanawaita antipopes (wapinga Kristo). Magufuli hakupaswa kabisa kuwa rais. Alinajisi ile ofisi.
 
Siku nikiwa rais wa nchi hii nitamfuta kwenye kumbukumbu za serikali asitambulike tena kama mtu aliyewahi kuhudumu kama rais wa nchi hii
Hata enzi za falme ilijua kitu kigumu kumtoa mfalme aliyepita kwenye kumbukumbu, sembuse miaka hii mzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…