Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

Lile lilikuwa ni shetani halisi kabisa.
Ukianza kuyataja mabaya yake huwezi kaliza.
Mungu anatupenda sn watz
 
Nje ya mada
 
Ameeleza Mengi! U7

Ameeleza Mengi ya kumsagia Hayati Magufuli kunguni,itachukua miaka 100 Tanzania kupata Rais bora kama Shujaa MAGUFULI niko chato kwenye kumbukizi ya huyu MWAMBA kuwahi kutokea kuiongoza Nchi kwà mafanikio Makubwa
Hatutaki
 
Mkuu shida yetu sio demokrasia wala udikteta, Tanzania inahitaji tutoke hapa kwenye kamkwamo tulikokatengeneza sisi wenyewe.

Tunahitaji Maendeleo Yenye kuleta nafuu ya maisha kwa watanzania wote.
Tunataman Tanzania iwe nchi isiyo na urasimu.
Tusipozuia mdudu rushwa eti kwakisingizio cha kufuata demokrasia ya magharibi, hakika tutadumu hivi hivi milele Amina.


Katika kuweka misingi ya maendeleo ya kweli hivyo vyote ( demokrasia na udikteta) lazima viende pamoja.
Tusidanganyane kwa elimu za kufundishwa na kukaririshwa na hawa jamaa.
No pain no gain!
Magufuli alikuwa bora sana kwa kipindi chetu, tunahitaji kunyooshwa
Your browser is not able to display this video.
 
Nashangaa san hata viongozi wa dini wameingia katika mkumbo wa kusifia watawala aina ya Magufuli.

Siku hizi ni bora kusali nyumbani kwako au chini ya mti.
Kabisa, huko kwenye nyumba za ibada ni kupotezea muda tu.
 
MAJIZI YA VYETI mkae nyumbani sasa, tumewachoka na masimango yenu dhidi ya shujaa Magufuli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu bado uko gerezani! Sukuma gang nyie ni noma. Anyway una haki pia ya kuwa mjinga au mwerevu
 
Huyu hamna kitu , ukitaka kujua hamna kitu weka ubaya wa Mbowe katika Chama chake

Hivyo huyu ni Chawa wa Mbowe kama walivyo Chawa wa Mama huko CCM
Wewe ni chawa wa nani? Au hujui kama na wewe ni chawa?
 
Mwambie huyo Martin aache kuwa chawa wa Boni. Mwanaume kamili wa kanda maalum haifai awe chawa..

Kazi yake kuokota mayai na kuzurula n boni akibwia bia za bure
 
Pole mkuu, naona bado unaomboleza ili hali Watanzania walishapona hayo majeraha ya yule Nduli, japo una haki ya kuamini ujinga pia pasi kubugusiwa na yeyote katika kipindi hiki
 
Kwa akili hizi unapaswa kufutwa kazi. Nyie ndiyo wale mnaosifia unyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…