Tofautisha ustaarabu na kutokuwa na uwezo. Sio ustaarabu, bado upinzania hawana uwezo wa kuendesha nchi, hawana technical know how, hawana hata enough personnel wa kushika nafasi za uongozi. Miaka 30 ya existence ndio sasa wanajenga ofisi. Wewe halikushangazi??? Pesa za ruzuku walikuwa wanagawana wahuni wachache Leo hazipo eti ndio mnajifanya kuchangisha watu, pumbavu sana!!!
Sisi Watanzania tuliomchagua, au kama unajitia ukichaa na kujisahaulisha kizembe, kaa ukijua mama yupo kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi. Wana-CCM waliowengi na wananchi walioridhishwa na kuichagua ilani ya CCM ndio mama anafanyia kazi maoni yao. Hivi ndivyo mnavyotaka twende nyinyi.
Kumbe mnajua Tanzania ni yetu sote sasa kelel za nini?? Au Nassari sio Mtanzania?? Acheni ujinga na chuki na wivu huo. Kisa kahamia CCM???? Mmepitia kipindi kigumu kwa sababu ndivyo mnavyotaka. Mlipopitishwa kipindi cha kistaarabu na kuthaminika na mzee Kikwete mliishia kumtukana. Waarabu wanao msemo wao unasema "punda haendi isipokuwa kwa magongo" hilo ndio mnalolitaka.
Mama anatuongoza kwa busara na hekima na kutushirikisha sote nyinyi kila analolifanya halina jema.
And just for your information, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo madhubuti na hakutakiwa na vurugu yoyote. Mkileta ujinga wenu uchaguzi utafika, mtashindwa kama kawaida na haitotokea vurugu yoyote.
Beware!!!!