Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

nchi zetu hizi ngumu sana mkuu na kadri unavyoyafahamu mambo na kuyajua unakuwa unasononeka moyoni

wakati mwingine unaona ni bora usingekuwa unafatilia
 
Hahahahahahaha watu ukiandika wewe wanasoma kwa jicho la tatu ukilinganisha na mtu mwingine kwa sababu japo mara nyingi ulikuwa ukimkosoa sana tu lakini ulikuwa pia ukimsifia nadhani wengi wanaona ulifanya hivyo kwa kuwa naye ni wa kule Kanda pendwa kulikovunjika jembe kukabaki mpini
😂😂😂😂😂
Hahahaa!

I guarantee you nikianzisha mada niandike exactly kama ulivyoandika wewe, nitaambiwa namchukia Samia na nitaambiwa Magufuli harudi tena, keshakufa na kuoza!

Hiyo ndo JF ya siku hizi!
 
bora magufuli alikua na vision ya aendako (japo njia alizokua anatumia hazikua sahihi kabisa), ila huyu hana vision wala mision
 
Sipingi mawazo yako mkuu.

Naamini ipo mantiki ya Mama kuamua kuwateua.
 
mh Rais anawagonganisha vichwa nyumbu huku, si juzi tu hapa mlikuwa mnamimina sifa baada sabaya kutiwa nguvuni.
 
yaani Albert msando ana video clip iliwahi kusambaa akimchezea uch ** mdada flani hivi wakiwa kwenye gari

wewe bado unaona anafaa kwenye utumishi wa uma na hapo ana mke wake na Familia
Msando leo angerudi Chadema alipoanzia, ungeendelea kuwa na msimamo huo?
 
Mimi mama amenifurahisha sana alivyoyaacha hoi MATAGA! Kuna jamaa kule fesibuku linajiita N.Mtanzania lilivyokuwa linajipendekeza ili lipate iteyuzi mpaka lilikuwa linakera! Mama apewe muda achape kazi!
 
Mzuri au kizuri kitatoka wapi sasa ndugu....?

Mimi naelewa jambo moja tu kuwa, hakuna kiongozi mzuri atatoka CCM...!
 
Kukaa kimya ni hatari zaidi kuliko kuwachambua. Elewa hivyo.
 
Reactions: BAK
Watu wamekuwa wastaarabu kwa miaka 30 ya kuomba Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Hata aliyekuwa Katibu Mkuu wa maccm anaamini kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya lakini baada ya kupewa ulaji akaanza KUDEMKA eti kuhusu katiba mpya ni mawazo yangu binafsi na sasa naunga mkono msimamo wa chama. Chama bila wanachama hakina uhai hivyo hakuna msimamo wa chama.
Kukaa kimya ni hatari zaidi kuliko kuwachambua. Elewa hivyo.
 
Leo unakubali "ustaarabu"?

Unaelewa kuwa hilo neno ni la Kiarabu?
 
Kamanda nenda kajinyonge, mkuu Erythrocyte atatuletea taarifa tuje kwenye msiba.
 
Utofauti wa CCM na vyama vingine ni kuwa ccm ina dola. Mengine wanafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…